Mpanda FM
Mpanda FM
16 July 2024, 10:21 am
“Ameridhishwa sana na maendeleo ya mkoa wa Katavi kwa kutekeleza miradi mbalimbali kwa kutumia fedha za serikali zinazotolewa na serikali kuu kwa maendeleo ya mkoa.“ Na Samwel Mbugi -Katavi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan…
16 July 2024, 9:43 am
Picha na Mtandao “malezi ya mzazi mmoja na Wamekuwa wakitoa elimu katika jamiii ili Watoto wapate malezi ya wazazi pande zote.“ Na Rachel Ezekia-Katavi Kufuatia takwimu za zinazoonesha ongeza la Watoto wanaolelewa na mzazi mmoja, Wazazi na walezi Manispaa ya…
16 July 2024, 9:09 am
Wananchi ambao wamejitokeza kumsikiliza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan wakati wa ziara yake mkoani humo “awali walikua hawapati huduma ambazo zinapatikana katika hospitali hiyo kwa sasa.“ Na Samwel Mbugi -Katavi Wananchi mkoani Katavi wamemshukuru…
13 July 2024, 8:45 pm
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na wananchi katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya wazazi yaliyofanyika mkoani Katavi. Picha na Samwel Mbugi “Katika usimamizi wa maadili ya Mtanzania, jamii ya watanzania pia itakuwa karibu nao, pamoja na…
12 July 2024, 8:42 am
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana “wazazi ndio msingi wa Malezi na Maadili katika jamiii, hivyo chama cha mapindunzi CCM kinapaswa kusimamia ipaswavyo maadili ya vijana katika makuzi yao.“ Na Samwel mbugi -Katavi Katika mwendelezo wa…
11 July 2024, 5:27 pm
picha na Mtandao “kukamilika kwa mradi huo kutaongeza thamani ya uchakataji wa mazao viwandani.“ Na Betord Chove Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Doto Biteko, amewataka wasimamizi wa mradi wa umeme wa gridi yaTaifa mkoani Katavi kuacha visingizio na…
11 July 2024, 5:10 pm
Jaji wa Mahakama Kuu Asina Omari ambaye ni mjumbe wa tume .picha na Rachel Ezekia “Tayari halmashauri na majimbo yameshapokea vifaa kwa ajili ya zoezi la uboreshaji wa daftari la mpiga kura”. Na Rahel Ezekia -Katavi Tume huru ya uchaguzi …
9 July 2024, 10:52 am
Wananchi mbalimbali waliojitokeza katika mazishi .picha na George Rujuba watu wanatakiwa kuachana na imani za kishirikina kwani matukio kama hayo yanajitokeza kutokana na watu kutomjua Mungu Na john Mwasomola -Katavi Watu wawili wa familia moja wamefariki dunia mara baada ya…
8 July 2024, 9:37 pm
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman jumuiya hiyo imekuwa msingi wa kutoa viongozi Bora ambao Wana maadili na wenye uwezo wa kuwatumikia Wananchi Kwa Ufanisi. Na Samwel Mbugi -Katavi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar…
8 July 2024, 12:37 pm
Watuhumiwa wengine wamekamatwa kwa makosa mbalimbali ya silaha haramu aina ya gobore madawa ya kulevya,pamoja na pombe ya moshi. Na Rachel Ezekia -Katavi Jeshi la polisi mkoa wa katavi linawashikilia watuhumiwa 12 wakijihusisha katika matukio ya mauaji ambayo yametokea kwa…
Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.
Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.
Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.
Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.
