Recent posts
1 April 2024, 9:16 pm
Maabara yajengwa Katavi kutatua kero zinazowakabili akinamama wa kiisilam
Jengo la Maabara inayojengwa .Picha na Mtandao Akinamama wa kiislamu wamefurahishwa na uanzishwaji wa maabara hiyo huku wakidai itakapokamilika itasaidia kutatua changamoto zinazowakabili kwani watapatiwa huduma na wataalam wa kike na si wa kiume kama ilivyo sasa. Na Betold Chove…
29 March 2024, 2:30 pm
Wananchi Karema wafikisha kilio chao kwa RC Katavi
Wananchi wa kata ya Karema wilaya ya Tanganyika mkoa wa Katavi wakiwa katika Mkutano .Picha na Anna Milanzi “Upepo mkali uliovuma Machi 16 na March 24, 2024 na maji ya ziwa Tanganyika kuingia katika makazi ya watu , jumla ya…
28 March 2024, 1:18 pm
Waliochomewa tumbaku Mpanda kutafutiwa ufumbuzi
“Katika uvamizi huo jumla ya majengo kumi ya kukaushia Tumbaku yamechomwa moto pamoja na stoo mbili pamoja na wananchi hao kuchukuliwa mali zao ikiwemo simu za mkononi pamoja na fedha.” Picha na Betord chove Na Bertod Chove-katavi Serikali wilayani Mpanda…
26 March 2024, 12:42 pm
Walimu wakuu watoroka chama Katavi
“Ikiwa ni mara ya kwanza kwa mkutano mkuu wa walimu wakuu wa shule za msingi mkoa wa Katavi uliofanyika katika ukumbi wa manispaa huku ukiambatana na mafunzo ya uongozi na taaluma,huku ikiambatana na kauli mbiu isemayo ‘‘Tekeleza Mikakati Boresha Elimu…
22 March 2024, 2:24 pm
Zaidi ya Vitambulisho Elfu 64 vya NIDA Vyaletwa Mpanda
“Wananchi amesema vitambulisho hivyo vitawasaidia kwani vimewaondoa hofu ya kukosa huduma muhimu ambazo zinaambatana na vitambulisho vya taifa kama vile kufungua akaunti za Benk“ Picha na Samweli Mbugi Na Samweli Mbugi-katavi Wananchi wa kata ya Mwamkulu Wilaya ya Mpanda mkoani…
22 March 2024, 11:12 am
Katavi,watuhumiwa 14 wafikishwa Mahakamani akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi halmasha…
picha na Ben Gadau “watuhumiwa wote 14 wanashtakiwa na makosa 153 ikiwemo utakatishaji wa fedha, kuunda genge la uhalifu na kugushi malipo kwa njia ya mtandao kinyume na utaratibu“ Na Ben Gadau -Katavi Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa…
21 March 2024, 10:55 am
Wananchi Katavi hawana elimu ya utunzaji wa kinywa, meno
Picha na Mtandao “Utafiti uliofanyika umegundua kuwa watoto wenye umri wa miaka sita hadi tisa ndio waathirika wakubwa“ Na Samwel Mbugi -Katavi Wananchi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametoa maoni mseto kuhusiana na maadhimisho ya wiki ya afya ya kinywa…
21 March 2024, 9:32 am
Umaskini watajwa chanzo cha ukatili wa kijinsia kwa wanawake Katavi
“Jamii inapaswa kupewa elimu juu ya namna ya kumwinua mwanamke kiuchumi pamoja na kupinga ukatili wa kijinsia ili kuwepo na usawa wa kijinsia kati ya mwanaume na mwanamke“ Na Rachel Ezekia-Katavi Umaskini umetajwa kuwa chanzo cha ukatili wa kijinsia kwa…
20 March 2024, 4:02 pm
Mpanda, Vibaka Waibuka Mpanda Girls
“Mwenyekiti wa mtaa wa Mtemi Beda Edisi Kazwika amekiri kupokea tarifa za uwepo wa matukio ya uhalifu katika eneo hilo na kuwahakikishia hatua za usalama zinachukuliwa kwa wananchi wanaopita katika eneo hilo” Picha na mtandao Na Rachel Ezekia-katavi Wananchi wa…
19 March 2024, 3:19 pm
Katavi, Wafanyabiashara 24 Mbaroni Kupandisha bei ya Sukari
Picha na Mtandao “Ni wajibu wa kila mfanyabiashara kuzingatia bei elekezi inayotolewa na Serikali ili kupunguza usumbufu kwa mlaji“ Na Betord Benjamin-Katavi Jumla ya Wafanyabiashara 24 Katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamekamatwa kutokana na kuuza sukari kinyume na bei…