Mpanda FM
Mpanda FM
14 July 2025, 2:16 pm
Afisa Maendeleo ya Jamii manispaa ya Mpanda Irene Samson. Picha na Samwel Mbugi “Tunashindwa kujikwamua kiuchumi kwa sababu tunapenda starehe” Na Anna Mhina Wazazi na walezi mkoani Katavi wametakiwa kusimamia malezi na makuzi ya watoto wao ili kuwaepusha kujiunga na…
10 July 2025, 12:53 pm
Mwalimu Chahe (kushoto) akifundisha utengenezaji wa batiki kwa vitendo. Picha na Anna Mhina “Mafunzo haya walikuwa wanahudhuria kina mama lakini awamu hii wanaume ndio wengi” Na Anna Mhina Idadi ya washiriki wa mafunzo ya ujasiriamali na uchumi imeongezeka hadi kufikia…
8 July 2025, 7:56 pm
Mwalimu Benjamin Chahe kutoka chuo Mkwawa V.T.C Iringa. Picha na Anna Mhina “Leo nimefurahi mchele kumbe ni sabuni!” Na Anna Mhina Wajasiriamali ambao wanapatiwa mafunzo ya ufugaji bora wa kuku, utengenezaji wa sabuni na batiki wameonesha kufurahia mafunzo ya utengenezaji…
7 July 2025, 7:42 pm
Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph. Picha na Samwel Mbugi “Bei zimepanda niwaombe tukumbuke kuweka akiba ya chakula” Na Samwel Mbugi Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph amewahimiza wananchi kutunza chakula hususani katika kipindi hiki cha mavuno ambapo…
7 July 2025, 7:34 pm
Wajasiriamali wakiwa kwenye mafunzo. Picha na Anna Mhina “Lengo ni kuhakikisha wanakatavi wanapata mafunzo ya uchumi na ujasiriamali” Na Anna Mhina Zaidi ya wajasiriamali 80 mkoani Katavi wamepatiwa mafunzo ya namana ya ufugaji bora wa kuku, utengenezaji wa sabuni pamoja…
5 July 2025, 4:35 pm
Picha ya wananchi walionufaika wa mkopo wa asilimia 10. Picha na Samwel Mbugi “Tunamshukuru Rais Samia kwa kuweza kutuona sisi vijana” Na Samwel Mbugi Baadhi ya wananchi manispaa ya Mpanda mkoa wa Katavi ambao ni wanufaika wa mkopo wa asilimia…
5 July 2025, 4:25 pm
Vijana wa De Jong katikati ni afisa uhifadhi mwandamizi Shigela Jilala. Picha na Anna Mhina “Tumetoka Zanzibar tumekuja Katavi kwa lengo la kuazimisha Samia day” Na Anna Mhina Katika kuadhimisha Samia day mkoani Katavi vijana 69 wa De Jong kutoka…
2 July 2025, 7:27 pm
Albert Msovela katibu tawala Katavi. Picha na Samwel Mbugi “Lengo la tamasha la Samia day ni kumpongeza Rais Samia kwa kuleta fedha nyingi Katavi” Na Samwel Mbugi Wananchi mkoani Katavi wamehimizwa kushiriki tamasha la Samia Day ambalo limeandaliwa kwa ajili…
1 July 2025, 12:38 pm
Picha ya wananchi wa kijiji cha Isinde. Picha na Anna Mhina “Nakosa ujasiri wa kugombea kwa sababu tunatawaliwa na mfumo dume kwenye familia” Na Roda Elias Kuendelea kuwepo kwa mfumo dume miongoni mwa baadhi ya jamii kumetajwa kumuathiri mwanamke katika…
1 July 2025, 11:57 am
Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Isinde. Picha na Anna Mhina “Mfumo dume unaanzia nyumbani hivyo tunakosa kujiamini” Na Anna Mhina na Roda Elias Kuendelea kuwepo kwa mfumo dume miongoni mwa baadhi ya jamii kumetajwa kumuathiri mwanamke katika kuwania nafasi…
Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.
Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.
Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.
Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.
