Recent posts
16 April 2024, 12:12 am
Mafuriko yazitenganisha Mpanda, halmashauri ya Nsimbo
‘Kutopitika kwa barabara hii kutasababisha wanafunzi washindwe kwenda shule na hata wananchi watashindwa kuzifikia huduma muhimu kutokana na kutenganishwa kwa barabara hiyo” Na Lilian Vicent Katavi Barabara inayounganisha Manispaa ya Mpanda na Halmashauri ya Nsimbo Imekatika kutokana na Mvua kubwa…
14 April 2024, 2:18 pm
DC Mpanda aagiza kufanyika tathmini maafa ya mafuriko
Baadhi ya Nyumba zikiwa zimezingirwa na Maji katika Kata ya Misunkumilo .Picha na Restuta Nyondo “Baada ya kupata taarifa amefika eneo la tukio na kuanza kuchukua hatua za awali ili kuwanusuru wananchi “ Na Betold Chove-Katavi Mkuu wa wilaya Ya…
14 April 2024, 1:18 am
Katibu Mkuu CCM atua Mpanda, asikiliza kero za wananchi
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt.Emmanueli Nchimbi akizungumza na Wananchi na Viongozi Mbalimbali Katavi .Picha na Samwel Mbugi “Serikali itaendelea kutekeleza ilani ya Chama Cha Mapinduzi CCM katika kusimamia miradi yote ili iweze kuleta manufaa yaliyokusudiwa“…
13 April 2024, 11:18 pm
Dkt. Nchimbi apokelewa Katavi kwa kishindo
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa Dkt.Emmanuel Nchimbi akiwasili Katika uwanja wa ndege Mkoani Katavi kwa ajili ya ziara ya siku mbili Mkoani hapa .Picha na Samwel Mbugi “ Amewataka Viongozi kuhakikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Wanaweka…
12 April 2024, 8:55 pm
Watoto waangukiwa na ukuta Katavi, mmoja afariki
Nyumba ambayo ukuta wake umeanguka na kuwaangukia Watoto Wawili ambapo Mmoja kati yao amefariki .Picha na Deus Daud “Baada ya Mvua Kunyesha na Maji kuwa mengi yamezunguka Nyumba na kusababisha kuanguka kwa Ukuta wa Nyumba hiyo“ Na Lilian Vicent -Katavi…
12 April 2024, 8:21 pm
RC Katavi: Serikali inatambua umuhimu wa Vvongozi wa dini
Picha na Mtandao “Amewapongeza viongozi wa Baraza la BAKWATA kwa kuonyesha Ushirikiano katika juhudi zinazofanywa na Serikali na kuainisha kuwa Serikali inatambua Mchango wa Dini katika kufanya Shughuli za Maendeleo “ Na Samwel Mbugi-Katavi Viongozi wa Baraza kuu la Waislamu…
11 April 2024, 10:00 am
Wananchi Katavi watakiwa kushiriki uchaguzi
“Uchaguzi unapofika ni vema kushiriki katika uchaguzi huo na kuendeleza utulivu na amani iliyopo” Sheikh Nassoro Kakulukulu. Na Deus Daudi-Katavi Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Katavi Nassoro Kakulukulu amewataka Wananchi kujiandaa na kushiriki katika Uchaguzi Wa serikali za Mitaa na…
11 April 2024, 12:36 am
Ulinzi, usalama waendelea kuimarishwa Katavi
“Baraza kuu la Waislamu wanaupongeza uongozi wa Mkuu wa Mkoa kwa kuhakikisha hali ya utulivu inaimarika“ Na Lilian Vicent-Katavi Wananchi wa mkoa wa Katavi Wamehakikishiwa usalama wakati wa kufanya shughuli za kijamii na kiuchumi kwa kuwa jeshi la polisi lipo…
10 April 2024, 11:47 pm
Wananchi Katavi waomba elimu zaidi kuhusu gonjwa wa red eyes
“Changamoto inayochangia kuongezeka kwa Ugonjwa huo ni pamoja na baadhi ya Watu kutokufahamu ugonjwa huo unaambukizwa kwa njia ipi“ Na Veronika Mabwile -Katavi Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi hawana uelewa wa namna ya kujikinga na maambukizi…
10 April 2024, 11:24 pm
Bilioni 16 zatengwa ujenzi umeme gridi ya taifa Tabora-Katavi
Picha na Mtandao “Wakandarasi wanaohusika na ujenzi huo kutokana na kasi ya ujenzi na kuwataka kuuongeza ufanisi wa ujenzi ili kuweza kuukamilisha kwa wakati” Na Betold Chove-Katavi Kiasi cha Bilioni 16 zimetengwa na serikali kwa ajili ya kugharamia mradi wa…