Mpanda FM

Recent posts

28 August 2025, 6:57 pm

Kisaka “marufuku kutiririsha majitaka”

Moja ya makazi yanayotiririsha maji taka. Picha na Sultani Kandulu “Kuna watoto wadogo wanaweza kuchezeachezea zile tope” Na Sultani Kandulu Wananchi  wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuacha tabia ya kutiririsha maji taka ili kuepukana na magonjwa ya mlipuko…

28 August 2025, 3:30 am

Lupembe ateuliwa rasmi kuwa mgombea ubunge jimbo la Nsimbo

Mgombea ubunge jimbo la Nsimbo Anna Lupembe na msimamizi wa uchaguzi jimbo la Nsimbo Julius Moshi. Picha na Restuta Nyondo. “Kwa kuwa umekizi vigezo hivyo nakuteua kuwa mgombea ubunge jimbo la Nsimbo” Na Restuta Nyondo Mgombea Ubunge wa Jimbo la…

25 August 2025, 6:48 pm

Watembea kwa miguu wanahitaji elimu

Jofrey Chaka mkaguzi wa polisi. Picha na Anna Mhina “Mtembea kwa miguu anatakiwa atembee upande wake wa kulia” Na Anna Mhina Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wameiomba serikali kutoa elimu ya usalama barabarani kwa watembea kwa…

20 August 2025, 11:25 pm

Ofisi ya GIZ yazinduliwa Katavi

“ofisi hiyo itatumika na wadau mbalimbali katika kutekeleza mradi unaolenga kutatua changamoto mbalimbali hasa za uhifadhi wa maji“ Na Anna Milanzi -KataviShirika lisilo la kiserikali  kutoka nchini Ujerumani GIZ limezindua ofisi yake katika jengo la Mpanda Plaza manispaa ya Mpanda…

20 August 2025, 6:59 pm

Chaka: Tiini sheria za usalama barabarani

Mkaguzi wa polisi Jofrey Chaka. Picha na Anna Mhina “Hakikisheni vyombo vya usafiri vinakuwa bora” Na Anna Mhina Jeshi la polisi mkoani Katavi kupitia kitengo cha usalama barabarani limewataka watumiaji wa  barabara kutii sheria za usalama barabarani  ili kuepusha ajali…

15 August 2025, 5:04 pm

Wazazi, walezi waleeni watoto katika maadili

Mkuu wa dawati jinsia na watoto Katavi Judith Mbukwa. Picha na Anna Mhina “Tutengeneze ukaribu na watoto wetu kutawajengea usalama zaidi” Na Roda Elias Wazazi  katika manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wametakiwa kuhakikisha wanasimamia ndoto za watoto ili ziweze kutimia.…

13 August 2025, 4:58 pm

Mpanda yajiandaa kutoa elimu kwa wakulima

Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamil Yusuph. Picha na Samwel Mbugi “Tumedhamiria kufanya maonesho kabla yamsimu wa kilimo” Na Samwel Mbugi Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph amewapongeza wakulima na wajasiriamali walioenda kwenye maonyesho ya Nanenane jijini Mbeya kwa…

12 August 2025, 1:38 pm

Uchafu wa mighahawa kero kwa walaji Katavi

Moja ya mgawaha uliopo mtaa wa Mpanda hotal. Picha na Roda Elias ” Unakula chakula unakaa kidogo unaenda kununua flajiri” Na Roda Elias Baadhi ya walaji wa vyakula katika migahawa inayopatikana kata ya Mpanda hotel manispaa ya Mpanda mkoani Katavi…

12 August 2025, 11:58 am

Wakulima watumieni vema maafisa kilimo

Ndugu Adili Mbilinyi akitoa neno kwa wakulima. Picha na Leah Kamala “Nitoe wito kwa wananchi watumieni vema maafisa kilimo” Na Leah Kamala Baadhi ya wakulima wa Kitongoji cha kasherami A, Kijiji cha muungano kata ya Ibindi halmashauri ya Nsimbo wamepatiwa…

Kuhusu Mpanda Radio

Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.

Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.

Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.

Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.