Mpanda FM
Mpanda FM
9 October 2025, 3:19 pm
Mgombea urais Coaster Kibonde katikati akisalimiana na baadhi ya wanachama wa chama cha Makini. Picha na Samwel Mbugi “Vipaombele vyetu vipo vitatu elimu, kilimo na afya” Na Samwel Mbugi Mgombea urais kupitia Chama cha Makini Coaster Kibonde ameendelea na kampeni…
5 October 2025, 7:11 pm
Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph akitoa maelekezo kwa wawekezaji. Picha na John Benjamin “Kuanzia leo nafunga shughuli zote za uchimbaji” Na John Benjamin Wananchi wa Kijiji cha Mtisi wilaya ya Mpanda mkoani Katavi wamelalamikia uwepo wa wawekezaji watatu…
5 October 2025, 6:40 pm
Baadhi ya wachangiaji wa mada.Picha na Anna Mhina “Tunashindwa kuhudhuria kwasababu hawatekelezi ahadi zao” Na Anna Mhina na Roda Elias Baadhi ya wanawake wa mtaa wa Mpadeko uliopo kata ya Makanyio wilayani Mpanda mkoani Katavi wameiomba mamlaka husika kutoa elimu…
3 October 2025, 3:11 pm
Mwenyekiti wa CHAUMA Katavi akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Mpanda mjini. Picha na Betord Chove “Tunakwenda kuwatafutia mahali pa kufanya biashara zenu” Na Betord Chove Mgombea wa ubunge kupitia chama cha ukombozi wa umma {CHAUMA} Massanja Musa Katambi amesema…
2 October 2025, 7:52 pm
2 October 2025, 5:27 pm
Judith Mbukwa mkuu wa dawati la jinsia na watoto Katavi. Picha na Roda Elias “Ripotini vitendo vya ukatili ili jamii iwe salama” Na Roda Elias Jamii mkoani Katavi imetakiwa kuondokana na dhana ya kuogopa vituo vya polisi hususani dawati la…
2 October 2025, 2:47 pm
Omary Yusuph daktari kitengo cha magonjwa ya wanawake na uzazi. Picha na Anna Mhina “Kuna madhara mengi mojawapo kujifungua kwa operation” Na Anna Mhina Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Msasani uliopo kata ya Mpanda Hotel manispaa ya Mpanda mkoani…
30 September 2025, 2:25 pm
Afisa kilimo kata ya Makanyagio Philemon Tesha. Picha na Anna Mhina “Mimi nachukulia kilimo ni ile hatua ya mwisho ya kijana aliyefeli maisha” Na Anna Mhina Wakulima mkoani Katavi wametakiwa kuachana na kilimo cha mazoea na badala yake wajikite kulima…
29 September 2025, 12:44 pm
Omary Yusuph daktari hospital ya rufaa Katavi . Picha na Anna Mhina “Anaposhiriki ananifanya nisione jambo la ujauzito kuwa ni gumu” Na Anna Mhina Baadhi ya wakazi wa mtaa wa Msasani uliopo kata ya Mpanda hotel manispaa ya Mpanda mkoani…
20 September 2025, 4:48 pm
Moja ya taa za barabarani katika halmashauri ya manispaa ya Mpanda. Picha na Sultan Kandulu “Taa za barabarani kuwa mbovu zinaleta changamoto kwetu sisi watumiaji wa vyombo vya moto” Na Sultan Kandulu Watumiaji wa barabara mkoani Katavi wametakiwa kuchukua tahadhari…
Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.
Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.
Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.
Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.
