30 June 2025, 5:42 pm

Majirani wakerwa na choo cha muuza pombe

Choo kinachowakera ya wananchi. Picha na Anna Mhina “Hapa sisi tunapata shida na harufu ya kinyesi” Na Anna Mhina Baadhi ya wananchi wa kata ya Mpanda hotel manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamelalamikia kero wanayoipata ya harufu mbaya ya choo…

Offline
Play internet radio

Recent posts

29 January 2026, 5:00 pm

Wafanyabiashara Katavi kunufaika na IDRAS

Wafanyabiashara wakiwa kwenye mafunzo. Picha na Betord Chove “Mfumo huu utatusaidia namna ya ulipaji kodi” Na Betord Chove Wafanyabiashara mkoani Katavi wameeleza kufurahishwa na elimu iliyotolewa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Katavi kuhusu mfumo mpya wa uwasilishaji…

29 January 2026, 4:51 pm

DC Jamila: Marufuku mtoto kukataliwa kwa sababu ya michango

“Tumeshatoa hamasa sasa ni muda wa kuchukua hatua kwa wazazi” Na Anna Mhina Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph amewaagiza wenyeviti na watendaji wa mitaa pamoja na viongozi wa kata wakiwemo maafisa tarafa kupita nyumba kwa nyumba kuwasaka watoto…

28 January 2026, 11:05 am

Zaidi ya miti laki sita yapandwa Mpanda

Mkuu wa wilaya ya Mpanda Jamila Yusuph akipanda mti. Picha na Anna Mhina “Miti hii tuliyoipanda muitunze” Na Anna Mhina Wakati Taifa likiadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu Hassan mkuu wa…

27 January 2026, 9:07 pm

RC Katavi, aungana na Rais Samia kupanda miti

“Amewataka wananchi waliopewa miti kwenda kuipanda na kuitunza ili kusaidia upatikanaji wa hewa safi pamoja na kulinda mazingira.“ Na Samwel Mbugi-Katavi Wananchi wa wilaya ya Mlele mkoa wa Katavi wameungana na serikali kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Rais wa Jamhuri…

27 January 2026, 12:51 pm

Kombo: Punguzeni unywaji wa pombe

“Unywaji wa pombe kupitiliza husababisha mtu kupata vidonda vya tumbo” Na Anna Mhina Ukosefu wa elimu ya afya ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo imetajwa kuwa sababu ya kuongezeka kwa ugonjwa huo. Hayo yamesemwa na baadhi ya wananchi wa halmashauri…

27 January 2026, 12:43 pm

Bodaboda, machinga, wachimbaji wadogo Mpanda wanolewa

Kushoto ni Abigael Hendry Leina Katibu wa mbunge wa Mpanda mjini. Picha na John Benjamin “Malengo ya mheshimiwa mbunge sio kuwapa mafunzo tuu” Na John Benjamin Viongozi wa makundi mbalimbali ya vijana yakiwemo  bodaboda, machinga, wachimbaji wadogo manispaa ya Mpanda…

26 January 2026, 10:06 am

Ujenzi kituo cha afya Ibindi kicheko kwa wananchi

Ujenzi wa kituo cha afya Ibindi ukiendelea. Picha na Samwel Mbugi “Kwa muda mrefu tumehangaika lakini kwa bahati nzuri mradi umetufikia” Na Samwel Mbugi Wananchi wa kata ya Ibindi wameishukuru serikali kwa kuwapelekea mradi wa kituo cha afya Ibindi ambacho…

24 January 2026, 1:21 pm

Hali tete Ivungwe C wakikosa maji

“Maji tunayokunywa ni machafu tunaumwa matumbo” Na Restuta Nyondo Baadhi ya wananchi katika kitogoji cha Ivungwe C Kijiji cha Manga manispaa ya Mpanda mkoani Katavi wamelalamikia kutumia muda mwingi kutafuta maji kuliko kufanya shughuli za kimaendeleo. Wakizungumza na Mpanda Redio…

22 January 2026, 5:11 pm

Kero ya maji hospital ya Nsimbo yamkera Kimanta

Kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya Chama Cha  Mapinduzi (CCM). Picha na Samwwel Mbugi “Tumekuja hapa tumeambiwa hakuna maji hatukubaliani na hiki kitu” Na Samwel Mbugi Kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya Chama Cha  Mapinduzi (CCM) mkoa wa…

21 January 2026, 7:24 pm

Wafugaji Mpanda washauriwa kukamilisha josho la mifugo

“Ndugu zangu najua ninyi ni wafugaji na mnaingia gharama kubwa za madawa” Na Benny Gadau Diwani wa kata ya Ibindi halmashauri ya wilaya ya Nsimbo Mdakuni Matongo amewasihi wafugaji kushirikiana kukamilisha ujenzi wa josho la mifugo. Amezungumza hayo katika kikao…

Kuhusu Mpanda Radio

Umiliki wa redio
Mpanda Radio FM inamilikiwa na kampuni iliyosajiliwa iitwayo Mpanda radio FM Limited na cheti cha usajili namba 78298 na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mpanda Radio FM pia imesajiliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania TCRA, Wizara ya Viwanda na biashara; ama tunatambuliwa na Chama cha Wafanyabiashara, Viwanda na Kilimo Tanzania TCCIA na Mamlaka ya Mapato ya Tanzania kama Mlipa Ushuru, tuna Namba ya Kitambulisho cha Mlipa kodi 115-577-239 na tumepewa nambari ya usajili ya VAT 40-015708 kwa Biashara iliyoko hoteli ya Mpanda, eneo la eneo. nambari G, nambari ya kuzuia 35.

Dira
Kuwa jamii thabiti yenye afya bora, elimu, umoja na maendeleo endelevu, inayotambua wajibu na haki.

Dhamira
Kushirikisha jamii katika kuandaa vipindi, habari na uendeshaji wa redio kwa kuzingatia taaluma. Kuwa jukwaa la mijadala inayochochea mabadiliko chanya ya fikra, usawa wa jinsia, sheria na utawala bora, uwajibikaji, ushindani wa maendeleo, utamaduni na ulinzi wa rasilimali.

Uongozi
Mpanda Radio FM ina mlolongo mzuri wa uongozi na inasimamiwa na Bodi ya wakurugenzi. Tuna wakurugenzi watatu kwa hisa na kuajiriwa; pia tuna uongozi wa uzalishaji na uuzaji.