Mpanda FM
Mpanda FM
28 October 2025, 9:52 am

Afisa TAKUKURU mkoa wa Katavi Leonard Minja. Picha na Anna Mhina
Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Katavi imeweka bayana athari zitokanazo na rushwa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
“Madhara ni mengi kwanza huwezi kupata kiongozi sahihi”
Na Anna Mhina na Roda Elias