Recent posts
8 April 2023, 13:28 pm
Makala: Fahamu namna dawa za kulevya zinavyomuathiri mtoto tumboni
Mama mjamzito akiwa anatumia madawa ya kulevya zinamuathili mama mwenyewe na kwenye mfumo wake wa uzazi na kupelekea mtoto kuathirika moja kwa moja kama ambavyo mama anaathirika kwa dawa hizo, na kupelekea mtoto kuwa na uraibu na wakati mwingine husababisha…
1 April 2023, 23:18 pm
Waziri Mkuu asisitiza kuainisha ubadhirifu kwenye miradi itakayopitiwa na mwenge
Na Mwandishi wetu. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa amewataka wakimbiza mwenge wa Uhuru kitaifa kukagua miradi yote kwa umakini na kuishauri Serikali hatua za kuchukua kwa kila mradi. Muende mkakague miradi ya maendeleo…
1 April 2023, 23:07 pm
Uzinduzi wa Mwenge na mafanikio ya kupambana na UKIMWI
Na Mussa Mtepa Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kasim Majaliwa amewataka wakimbiza mwenge kitaifa kukagua na kujiridhisha na ubora wa Miradi ya Maendeleo itakayokaguliwa ili ilingane na thamani ya fedha zilizotolewa kwenye mradi husika na kuahidi kuzifanyia kazi taarifa zote…
30 March 2023, 18:29 pm
Waziri Mkuu Majaliwa kuwasha mwenge wa Uhuru Mkoani Mtwara
Mwenge wa Uhuru wa Tanzania unatarajiwa kuwashwa Mkoani Mtwara Ili kuanza kuzunguka Tanzania nzima kwaajili ya kujenga amani na mshikamano wa Taifa kwa mwaka 2023 Na Mussa Mtepa WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio…
28 March 2023, 16:26 pm
Kipindi: Wanawake wahamasishwa kupima saratani ya mlango wa kizazi
Na Mussa Mtepa na Mwanahamisi Chikambu Saratani ya mlango wa kizazi ni ugonjwa ukuaji usio wa kawaida wa chembechembe hai na mgawanyo wa chembechembe hai usio wa kawaida ambapo havionekani kwa macho ya kawaida. Ugonjwa huu husambazwa kwa njia ya…
27 March 2023, 11:18 am
Kipindi: Elimu ya ugonjwa surua na rubella
Na Gregory Millanzi, Mwanahamisi Chikambu na Mussa Mtepa Utoaji wa chanjo ya surua na rubella kwa watoto umeanza kwa awamu ya dharula baada ya uwepo wa mlipiko wa magonjwa hayo ambayo yanawaadhiri watoto. Kupitia kipindi cha dira ya asubuhi tumewapata…
22 March 2023, 12:38 pm
Viongozi wa Dini wasisititwa kupiga vita tabia chafu
Watanzania hawana tabia ya ndoa za jinsia moja hivyo tamaduni za nje zisiruhusiwe kuingia nchini huku akiwataka jamii kupiga vita madangulo yote yanayofanya biashara ya ngono Na Musa Mtepa Jamii na Viongozi wa Dini wametakiwa kuwa mstari wa mbele kupiga…
21 March 2023, 11:00 am
Kamati ya Amani Mkoa wa Mtwara, yamuombea Dua Rais Samia
utaratibu wa kumyombea tua na kumpongeza kiongozi wa nchi kwa miaka miwili ya Uongozi umekuwa ukifanyika kila mahali nchini Tanzania na Mkoani Mtwara wamemuombea Dua Mh. Rais Samia kwa Kazi nzuri anayoifanya Na Musa Mtepa Baraza la kiislamu Tanzania (BAKWATA)…
16 March 2023, 14:43 pm
Manispaa ya Mtwara yaanza kutoa chanjo ya Surua na Rubella
Na Gregory Millanzi. Kutokana na uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa Surua na Rubella wataalamu wa afya kupitia kitengo cha afya kinga Manispaa ya Mtwara-Mikindani wameendelea kutoa huduma ya chanjo ya Surua na Rubella kwa watoto wenye umri chini ya…
8 March 2023, 23:06 pm
Watoto 8,172 wapata ujauzizo mkoani Mtwara
Na Mohamed Massanga Watoto zaidi ya 8,172 wenye umri wa kuanzia miaka 10 hadi 19, wameripotiwa kupata Mimba Mkoani Mtwara kuanzia mwezi Januari hadi Disemba mwaka 2022. Akizungumza leo Machi 8, 2023 katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Mwanamke…