Recent posts
12 November 2024, 17:34 pm
ADEA, UNESCO watangaza mafunzo ya bure kwa vijana Mtwara Mikindani
Mkoa wa Mtwara ni mkoa adhimu katika sanaa ya uchongaji wa vinyago hivyo kama rasilimali hizi zikitumika vizuri na vijana zinaweza kuwakomboa kiuchumi na hivyo kuwawezesha kujitegemea na kujenga taifa imara . Na Musa Mtepa Vijana wametakiwa kujitokeza kwa uwingi…
11 November 2024, 18:04 pm
TAKUKURU Mtwara yawanoa wanahabari uchaguzi serikali za mitaa
Haya ni mafunzo yenye lengo la kuwawezesha waandishi wa Habari mkoani Mtwara kutambua kanuni na taratibu zitakazo waongoza katika ufanyaji kazi katika kuelekea uchaguzi wa serika za mitaa November 27,2024 Na Musa Mtepa Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa…
11 November 2024, 15:52 pm
Takukuru Mtwara yaokoa zaidi ya shilingi milioni 31 za viuatilifu
Katika kipindi cha kuanzia Julai hadi Septemba 2024 TAKUKURU Mkoa wa Mtwara imepokea malalamiko 47 ambapo yanayohusu rushwa 37 na yasiyo husu rushwa yalikuwa 10. Na Musa Mtepa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mtwara imefanikiwa kuokoa…
10 November 2024, 08:44 am
DC Mtwara azindua uchaguzi Ndile Cup
Huu ni msimu wanne wa mashindano hayo ambayo yamekuwa yakijigeuza kila mwaka kutokana na matukio makubwa ya kitaifa ambapo mwaka 2022 yalitwa Sensa Ndile Cup na mwaka yanajulikana na kama Uchaguzi Ndile Cup. Na Musa Mtepa Mkuu wa Wilaya ya…
8 November 2024, 23:28 pm
Madiwani Mtwara wasusia baraza kisa matukio ya uchaguzi wa serikali za mitaa
Inaelezwa kuwa sababu kubwa ya kususia kikao hicho ni kwa kile walichokiita kutotendewa haki kwa wagombea wao kwa kuwaondoa katika orodha ya wagombea wa nafasi za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwa kosa la kujaza vibaya fomu. Na…
8 November 2024, 09:40 am
Diwani Madimba aitaka halmashauri kuiangalia jicho la tatu shule ya msingi Litem…
Miundombinu ya shule ya Msingi Litembe hali yake Mbaya hivyo halmashauri isipochukua hatua kuelekea msimu wa mvua kunauwezekano wa kufungwa kutokana na majengo yake kuchakaa. Na Musa Mtepa Diwani wa kata ya Madimba, Idrisa Ali Kujebweja, ameitaka Halmashauri ya Mtwara…
7 November 2024, 22:16 pm
Kamati ya usalama Mtwara yafanya ukaguzi bandarini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassani alipofanya ziara mwaka jana aliagiza viongozi wa mkoa na taifa kwa ujumla kuhakikisha korosho zote zinazo zalishwa katika mikoa ya Kusini Lindi,Mtwara na Ruvuma zote zinasafirishwa kupitia Bandari ya…
7 November 2024, 16:17 pm
Huduma bure ya mama mjamzito na watoto wachanga-Makala
Na Gregory Millanzi Sera ya afya ya mama na mtoto nchini Tanzania inalenga kuboresha afya na ustawi wa wanawake wajawazito, watoto wachanga, na watoto walio chini ya umri wa miaka mitano. Serikali ya Tanzania imekuwa ikitekeleza sera ya afya inayotoa…
7 November 2024, 11:56 am
Wanahabari Mtwara wahimizwa kuwasemea watoto wenye mahitaji maalum
Walimu wenye ujuzi wa kuwafundisha wanafunzi wenye mahitaji maalumu ni wachache na wakati mwingine hata Mwalimu mkuu wa baadhi ya shule hawafahau na hawana uelewa juu ya mkakati na mwongozo wa Elimu jumuishi Na Musa Mtepa Waandishi wa Habari mkoani…
6 November 2024, 16:52 pm
Uhitaji wa utafiti wa vyanzo vipya vya nishati ya gesi asilia mkoani Mtwara
Na Musa Mtepa Mkoa wa Mtwara, ulio kusini mwa Tanzania, ni moja ya maeneo yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za nishati, hasa gesi asilia. Hata hivyo, licha ya kuwa na rasilimali hizi, bado kuna changamoto katika kutumia gesi asilia kwa…