Recent posts
10 April 2024, 23:17 pm
RPC Mtwara: Zingatieni sheria za usalama barabarani
kKuvaa kofia ngumu kwa mwendesha wa pikiki ni suala la kisheria hivyo ni wajibu kwa maafisa usafirishaji (Bodaboda) wote mkoani Mtwara na abiria wake kuzingatia sheria hiyo. Na Musa Mtepa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara Kamishna Mwandamizi…
10 April 2024, 13:52 pm
Waislam watakiwa kuishi maisha yanayompendeza Mwenyezi Mungu
Kumewa na kutozingatia matukufu na makatazo ya Mwenyezimungu ambayo huenda ikawa sababu ya kuwepo kwa ugumu wa Maisha kutokana na Binadamu kutozingatia maagizo yake Na Musa Mtepa Waislam wametakiwa kuendelea kuishi Katika Maisha walivyoishi kwenye Mwezi mtukufu wa Radhamani ili…
6 April 2024, 20:58 pm
RC Kanali Sawala aitaka jamii ya Mtwara kuliombea Amani Taifa
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanal Patrick Sawala akitoa neno la shukrani kwa hadhira iliyojitokeza kufuturu hapo jana(Picha na Mtwara rs) Binadamu hakuna aliyekamilika mmoja anaweza kumkosea mwingine kwa bahati mbaya bila kutambua hivyo tuendelee kusameheana Na Musa Mtepa Mkuu…
1 April 2024, 18:19 pm
Wazazi watakiwa kutambua umuhimu wa elimu kwa mtoto wa kike
Imeelezwa kuwa chanzo kikubwa kinachosababisha watoto wa kike kutokufikia malengo yao ni wazazi kutotambua umuhimu wa elimu. Na Musa Mtepa Wazazi wametakiwa kutambua umuhimu wa elimu kwa watoto wa kike ili waweze kukabiliana na changamoto za maisha pamoja na kuwa majasiri…
1 April 2024, 15:19 pm
Wanaume kikwazo kwa wanawake kuwa viongozi – Makala
“Changamoto hizo ni kwa baadhi ya wanaume wenye tabia ya kuwakataza wake zao kushiriki masuala ya uongozi” Na Musa Mtepa Ni kipindi kinachoelezea changamoto zinazosababisha wanawake kutoshiriki kwa asilimia kubwa kwenye nafasi za kisiasa na uongozi . Kupitia kipindi hii…
29 March 2024, 17:46 pm
TFS yaombwa kutoa elimu ya huduma za misitu
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wameombwa kutembelea vijiji na kutoa Elimu kwa Wananchi ili wapate uelewa juu ya athari zinazo weza kujitokeza kutokana na matumizi mabaya ya Mazao ya Misitu Na Musa Mtepa Akizungumza na Jamii Fm Radio…
27 March 2024, 17:00 pm
Mila, desturi kikwazo wanawake kushiriki nafasi za uongozi Mtwara
Mila na desturi potofu zimekuwa zikiwarudisha nyuma wanawake wengi wilayani Mtwara kushiriki katika nafasi za uongozi na uamuzi na kupelekea kuwa wachache katika ushiriki kwenye vikao vya uamuzi. Na Musa Mtepa Imeelezwa kuwa mila na desturi zinazofanyika katika jamii ndicho…
25 March 2024, 17:26 pm
TPA yaiomba serikali Bandari ya Mtwara kuunganishwa na Reli
Changamoto zinazoikabili Bandari ya Mtwara ni kutokuunganishwa na miundombinu ya Reli pamoja na Barabara ya Mtwara –Dar es Salaam kutokuwa vizuri kuwezesha Bandari hiyo kuunganishwa na miundombinu hiyo. Na Musa Mtepa Naibu mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya usimamizi wa Bandari…
25 March 2024, 14:54 pm
Kamati ya Bunge yaipongeza Serikali umiliki wa Gesi Asilia
Kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa mitaji ya umma imeipongeza serikali kwa kuchukua hatua ya kuwasomesha vijana wa kitanzania nje ya nchi ambao kwasasa ndio wanao simamia mitambo ya kuchakata na kuzalisha Gesi Asilia katika kjiji cha Madimba…
19 March 2024, 15:55 pm
Athari ya mabadiliko ya tabia nchi yanavyoathiri upatikanaji wa samaki
“Ongezeko la joto Baharini na uwingi wa maji ya mvua kutoka Kwenye mito mbalimbali kumechangia kwa kiasi kikubwa kupungua upatikanaji wa Samaki “ Na Musa Mtepa Baadhi ya Wavuvi wa wanaofanya shughuli za uvuvi katika ukanda wa Bahari na Pwani…