Recent posts
17 January 2025, 10:52 am
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi yafanya kikao na Wadau wa Uchaguzi Mkoani Mtwara
Hii inalenga kutoa elimu ya ujiandikishaji na hamasa kwa Wananchi kushiriki katika zoezi la kujiandikisha na uboreshaji wa taarifa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura linalotarajiwa kufanyika hivi karibuni katika mkoa wa Mtwara. Na Mwanahamisi Chikambu Tume huru ya…
16 January 2025, 13:40 pm
INEC yafanya mkutano na wadau wa uchaguzi Mkoani Mtwara
Huu ni mkutano uliohusu mada kuu ya maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa wadau katika mkoa wa Mtwara uliohusisha viongozi wa vyama vya siasa, asasi za kiraia, makundi maalum, kamati za ulinzi na usalama, wahariri…
14 January 2025, 21:33 pm
RC aiomba CCM achukue hatua dhidi ya wahujumu wa wakulima wa korosho
Hiki ni kikao cha halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi CCM kilicholenga kutoa taarifa za utekelezaji wa ilani pamoja na changamoto zilizojitokeza katika miradi na jamii kwa ujumla Na Musa Mtepa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala, ameiomba…
14 January 2025, 09:20 am
Wanafunzi wa NDC wafanya ziara mkoani Mtwara
Hii ni ziara inayolenga kujifunza kwa vitendo waliyojifunza wakiwa darasani hasa katika miradi ya kiuchumi na usalama wa Wananchi kupitia miradi inayotekelezwa katika mkoa wa Mtwara. Na Musa Mtepa Mkoa wa Mtwara umepokea ugeni wa wanafunzi kutoka Chuo cha Taifa…
7 January 2025, 12:15 pm
TADIO yawanoa wanahabari Jamii FM Mtwara
Mafunzo haya yametolewa na jukwaa la redio za kijamii Tanzania (radio tadio) kwa lengo la kuwakumbusha waandishi wa habari na watangazaji kufanya kazi kwa kufuata madili ya uandishi wa habari katika kazi zao hasa wakati wa uchaguzi mkuu. Na Musa…
31 December 2024, 14:25 pm
Mila, desturi katika jando na unyago kwa watoto Mtwara
Na Mwanahamisi Chikambu na Gregory Millanzi Jando na Unyago ni mila na desturi muhimu zinazopatikana katika jamii nyingi za Tanzania na Afrika Mashariki. Sherehe hizi za mpito ni sehemu ya mchakato wa kuwafunda vijana wanaoingia utu uzima. Jando:Sherehe hii…
29 December 2024, 22:03 pm
TARI Naliendele yajizatiti kutoa elimu ya kilimo Msangamkuu Beach Festival
Msangamkuu Beach Festival msimu wa nne umekuwa wa kipekee na hii ni kutokana na uwepo wa mabanda ya taasisi mbalimbali inayotoa elimu kwa wananchi juu ya huduma zinazotolewa na taasisi husika. Na Musa Mtepa Kituo cha Utafiti na Kilimo TARI-Naliendele…
28 December 2024, 20:45 pm
DC Mwaipaya azindua rasmi Msangamkuu Beach festival
Msangamkuu Beach festival hii awamu ya nne ya tamasha hili ambapo dhamira ya tamasha hili ni kutangaza utalii wa fukwe na vivutio vilivyopo katika mkoa wa Mtwara Na Musa Mtepa Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Mhe. Abdala Mwaipaya, leo Desemba…
28 December 2024, 20:13 pm
Mtenga akabidhi bati, TV kwa vijiwe vya bodaboda Mtwara
Hii ni katika kuona anawafikia vijana kwenye maeneo yao ya kazi na kutatua baadhi ya changamoto zinazowakabili katika maeneo yao Na Musa Mtepa Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini, Mh. Hassani Mtenga, amekabidhi bati na televisheni zenye thamani ya zaidi…
26 December 2024, 15:53 pm
Mwitikio wa wanawake kugombea nafasi za uongozi
Na Mwanahamisi Chikambu pamoja na Gregory Millanzi Tanzania imeandika historia kwa kuwa moja ya nchi chache zilizoongozwa na Rais mwanamke, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Miaka 63 tangu kupata uhuru kutoka kwa Mkoloni Mwingereza, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amekua…