Jamii FM
Wanufaika na TASAF Lindi waipongeza serikali
26 November 2020, 08:27 am
Wanufaika wa Mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) mtaa wa Jangwani Halmashauri ya manispaa ya Lindi, wameeleza namna walivyonufaika na mradi, wameleeza maisha ya awali na ya sasa na namna mradi ulivyosaidia familia zao.
Kwa upande wake Afisa mtendaji wa mtaa wa Jangwani Halmashauri ya Manispaa ya Lindi Kelvin Malunda na mkurugenzi wa program na miradi ya jamii Tanzania Bara na Visiwani (TASAF) Amadeus Kamagenge kwa upande wake amempongeza bi Sofia na familia yake kwa kuwa mfano wa kuigwa kwa kutumia na kuendeleza pesa alizopata ili kujikwamua na umaskini.
Na Gregory Millanzi