

4 February 2021, 08:55 am
Shirika la Habari za Maendeleo Tanzania (TADIO) limeanza kusambaza vifaa vya kujikinga na magonjwa ya mlipuko vilivyotolewa na UNESCO Dar Es Salaam Office kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kwa vituo vya redio jamii chini ya mwamvuli wa TADIO.Vifaa hivi…
18 January 2021, 11:43 am
Mtu mmoja aliejulikana kwa jina la Chikwisu mkazi wa Majengo Newala mjini amefariki dunia baada ya kujimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujichoma huku kisa kikitajwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi na mke wake Awali akizungumza na Newala FM mtoto…
16 January 2021, 13:15 pm
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mh. Gelasius Byakanwa amesema taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zikionyesha kwamba shule 10 za mwisho kitaifa za kidato cha nne tisa ni kutoka mkoa wa Mtwara sio za kweli na kwamba hazihusiani na matokeo…
14 January 2021, 04:46 am
Kutokana na mvua kubwa zilizonyesha siku mbili mfululizo katika manispaa ya Mtwara mikindani,imesababisha kifo cha mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Ally Machulila (65) dereva pikipiki aliyesombwa na maji alikuwa anakatiza kwenye maji na kuzidiwa na kusababisha umauti, pia baadhi…
12 January 2021, 12:46 pm
Kufuatia mvua zilizoanza kunyesha alfajiri ya leo January 12, 2020 mkoani Mtwara, barabara katika maeneo mengi ya Manispaa ya Mtwara Mikindani zimefurika pia nyumba kuingiwa na maji. Baadhi ya maeneo yaliyoatiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha ni pamoja na Kituo kikuu…
11 January 2021, 16:22 pm
Waziri wa Maji Juma Aweso amefanya ziara ya kikazi ya siku Moja Mkoani Mtwara kukagua utekelezaji wa miradi ya maji na amewahakikishia wananchi wa Mtwara hatakuwa na kikwazo katika kuwaletea huduma bora za Maji safi na salama. Waziri Aweso ameyasema…
10 January 2021, 16:16 pm
KIKAO cha Kamati ya Ushauri Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara ( DCC) jana tarehe 9, 2021 kimeketi kwa ajili kujadili utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambayo imetekelezwa kwa kipindi cha mwaka wa fedha, 2020/ 2021 ikiwa ni kikao cha kwanza…
10 January 2021, 06:53 am
Uongozi wa kiwanda cha Saruji DANGOTE CEMENT Mtwara umesema jumatatu ya Januari 11, 2021 wataanza uzalishaji wa Saruji baada ya kukamilika kwa matengenezo ya baadhi ya mitambo iliyopata itirafu. Hayo yamethitishwa na Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mh. Gelasius Byakanwa…
1 December 2020, 11:59 am
Moja kati ya changamoto kubwa inayowakumba watoto wakike walioko shuleni hadi kupelekea kujiingiza katika mahusiano wakiwa na umri mdogo ni suala la upatikanaji wa taulo za kike, hii imekuwa changamoto kubwa kwa mabinti wengi. Kwa kulitambua hilo Mwanaidi Simba Kutoka…
26 November 2020, 08:27 am
Wanufaika wa Mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) mtaa wa Jangwani Halmashauri ya manispaa ya Lindi, wameeleza namna walivyonufaika na mradi, wameleeza maisha ya awali na ya sasa na namna mradi ulivyosaidia familia zao. Kwa upande wake Afisa mtendaji wa…
Who we are
JAMII FM is a Community Radio that was launched in September 2016 for the purpose of giving community members particularly from rural areas access to information and means of communication. The programmes are basically focused on issues that directly or indirectly reflect community livelihood including people with special needs.
Through Jamii FM Radio, educational and developmental information is disseminated and exchanged; important local issues are aired; a free market place of ideas and opinions is opened up and people are given the opportunity to express themselves. Broad participation by community members is always encouraged in Program production.
Vision
The VISION of Jamii FM is to see the community of Lindi and Mtwara Regions particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role for their own development through media.
Mission
The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication in order to achieve sustainable rural development.LocationJAMII FM Radio Station is located at Naliendele area 9km from Mtwara Town along Mtwara-Newala road. The station is opposite to Naliendele Agriculture Research Institute.
Coverage:
Jamii Fm Radio owns its 60 metres transmission tower that enables to reach the huge population from both Mtwara and Lindi regions, from Mtwara Municipal up to Nanyamba, Tandahimba, Newala, Nachingwea, Lindi and some parts along the boarder with neighbouring country-Mozambique.