Recent posts
2 November 2020, 13:07 pm
Wanakijiji waomba umeme na maji.
Wananchi wa kijiji cha maili kumi kata ya Mbawala Halmashauri ya wilaya ya Mtwara wameomba kupatiwa huduma ya maji na nishati ya umeme kwenye kijiji chao, hali ambayo imekuwa ikiwachelewesha maendeleo na kudumaza hali ya kijiji. Nishati ya umeme imepita…
22 October 2020, 09:10 am
TADIO yaziwezesha radio za Jamii kuweka maudhui mtandaoni
Mtandao wa radio za jamii nchini Tanzania (TADIO) imeziwezesha radio wanachama kurusha maudhui ya matangazo ya moja kwa moja kupitia mtandao, utakaoweza kuwafikia wasikilizaji wengi ndani ya nchi na nje ya mipaka ya Tanzania. Mafunzo ya siku mbili yakuziwezesha radio…
19 October 2020, 11:10 am
Wanafunzi wa Mtwara vijijini waomba kupewa fedha za taulo za kike
Baadhi ya Wanafunzi wa kike mkoani mtwara wamewataka wazazi kutenga bajeti kwa ajili kununua taulo za kike, ikiwa ni moja ya njia ya kutokomeza mimba za utotoni. Wakizungumza na jamii fm radio wanafunzi hao wamesema kuwa ukosefu wa taulo za…
19 October 2020, 11:08 am
Asasi za kiraia za paza sauti uchaguzi Mkuu
Asasi za kiraia zimetoa tamko la kulaani vitendo vya ukandamizaji, uonevu na udhalilishaji kwa wanawake wanaogombea nafasi mbalimbali za uwakilishi ngazi ya ubunge na udiwani. Door of hope Tanzania, Mtwangonet, Fawopa na Nerio za mkoani Mtwara wanapinga vitendo vya udhalilishaji,…