Recent posts
10 November 2020, 17:49 pm
TADIO yawahasa Wanahabari kutoandika Habari za uchochezi
Waandishi wa habari hususan wa redio za kijamii Tanzania wametakiwa kuandika habari za kudumisha Amani nchini na kuacha kupendelea kuandika habari za uchochezi na zenye kuleta taaruki. Wito huo umetolewa leo na Mwezeshaji wa mafunzo ya kujenga Amani hasa baada…
10 November 2020, 05:53 am
Ukataji wa miti hovyo unavyoweza kusababisha kukausha vyanzo vya maji.
Wapo wanaokata miti kwa shughuli mbalimbali kama vile kutengeneza mkaa, kujengea nyumba, kuchana mbao huku athari zake zikiwa ni pamoja na kukausha vyanzo vya maji. Hapa utawasikia wananchi na Meneja wa wakala wa misitu wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara Nchini…
8 November 2020, 14:43 pm
Athari za ulaji wa Udongo kwa Wanawake wajawazito
Wanawake wajawazito wanautamaduni wa kula udongo bila kujua athari zake, hapa utawasikia wanawake na Daktari akielezea athari hizo kwa mama na mtoto aliye tumboni. Karibu kwenye kipindi maalum, Muandaaji na msimulizi wako ni Karim Faida wa jamii fm radio Mtwara.
2 November 2020, 13:07 pm
Wanakijiji waomba umeme na maji.
Wananchi wa kijiji cha maili kumi kata ya Mbawala Halmashauri ya wilaya ya Mtwara wameomba kupatiwa huduma ya maji na nishati ya umeme kwenye kijiji chao, hali ambayo imekuwa ikiwachelewesha maendeleo na kudumaza hali ya kijiji. Nishati ya umeme imepita…
22 October 2020, 09:10 am
TADIO yaziwezesha radio za Jamii kuweka maudhui mtandaoni
Mtandao wa radio za jamii nchini Tanzania (TADIO) imeziwezesha radio wanachama kurusha maudhui ya matangazo ya moja kwa moja kupitia mtandao, utakaoweza kuwafikia wasikilizaji wengi ndani ya nchi na nje ya mipaka ya Tanzania. Mafunzo ya siku mbili yakuziwezesha radio…
19 October 2020, 11:10 am
Wanafunzi wa Mtwara vijijini waomba kupewa fedha za taulo za kike
Baadhi ya Wanafunzi wa kike mkoani mtwara wamewataka wazazi kutenga bajeti kwa ajili kununua taulo za kike, ikiwa ni moja ya njia ya kutokomeza mimba za utotoni. Wakizungumza na jamii fm radio wanafunzi hao wamesema kuwa ukosefu wa taulo za…
19 October 2020, 11:08 am
Asasi za kiraia za paza sauti uchaguzi Mkuu
Asasi za kiraia zimetoa tamko la kulaani vitendo vya ukandamizaji, uonevu na udhalilishaji kwa wanawake wanaogombea nafasi mbalimbali za uwakilishi ngazi ya ubunge na udiwani. Door of hope Tanzania, Mtwangonet, Fawopa na Nerio za mkoani Mtwara wanapinga vitendo vya udhalilishaji,…