Recent posts
22 February 2021, 12:50 pm
Anayefahamu Tiba Asilia ya Magonjwa Upumuaji afike ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mtwara.
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa ametoa wito kwa wananchi mkoani hapa kwa Anayefahamu tiba asilia ya magonjwa ya mfumo wa upumuaji, magonjwa ya pumu na magonjwa ya mfumo wa hewa na mwenye dawa asilia zenye kutibu magonjwa hayo,…
18 February 2021, 10:20 am
Wanufaika wa TASAF Mtwara watakiwa kutumia vizuri elimu ya akiba na mikopo
Mratibu wa TASAF Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara Bi. Zuena G. Myula leo tarehe 17 Februari, 2021 amewataka walengwa wa kaya maskini kuendelea kukutana katika vikundi vyao kwa minajili ya kupeana elimu ya akiba na mikopo pamoja na kufanya marejesho…
18 February 2021, 10:14 am
Wakulima wa chumvi Mtwara waipongeza Serikali kwa kuwaboreshea Miundombinu
Mapema leo tarehe 17 Februari, 2021 uongozi wa Kikundi cha Vijana cha Makonde Salt kilichopo kata ya Ndumbwe umeipongeza halmashauri ya wilaya ya Mtwara kwa uwezeshaji wa mkopo wa zaidi ya Milioni 15 uliosaidia kuboresha miundombinu ya mashamba yao ya…
17 February 2021, 09:59 am
Madiwani Manispaa ya Mtwara watembelea miradi ya Maji MTUWASA
Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani wamefanya ziara ya kuangalia miradi na vyanzo vya maji vya Mamlaka ya Maji safi na maji taka mjini Mtwara (MTUWASA) kwa lengo la kujifunza na kuona namna ya ufanisi wa kazi wa…
7 February 2021, 12:18 pm
Waomba Shule ifunguliwe
Wananchi wa kijiji cha Tangazo halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani hapa wameiomba serikali wafungue shule ya sekondari Tangazo kwa kuwa watoto wao wanatembea umbali wa zaidi ya km 20 kwenda na kurudi shule ya sekondari Mahurunga hali inayopelekea baadhi…
7 February 2021, 11:06 am
TANESCO Mtwara watoa elimu kwa wajasiliamali
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Mtwara, wametoa elimu ya matumizi sahihi ya umeme kwa wajasiliamali mkoani hapa baada ya kuwatembelea kwenye sehemu zao za Biashara Manispaa ya Mtwara Mikindani. Akitoa elimu hiyo mhandisi Aurea Bigirwamungu ambae ni afisa…
5 February 2021, 08:00 am
Madiwani Mtwara fanyeni Kazi za maendeleo
Waheshimiwa madiwani wa manispaa ya mtwara mikindani mkoani Mtwara wametakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano ili kujipatia maendeleo. Hayo yamesemwa na Afisa tawala Idara ya serikali za Mitaa kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa Mtwara Bi Edith Shayo, katika kikao cha…
5 February 2021, 07:44 am
Wananchi wa Mtiniko waipongeza serikali kwa kupata nishati ya umeme
Wananchi wa kijiji cha Mtiniko Halmashauri ya mji Nanyamba mkoani mtwara wameipongeza serikali kwa kuwapelekea huduma ya umeme wa REA na kusema uwepo wa umeme huo umesaidia kuinua kipato cha wakazi hao kwa kuwepo kwa viwanda vidogovidogo mitaani. Akiongea na…
4 February 2021, 08:55 am
TADIO kupambana na Magonjwa ya mlipuko
Shirika la Habari za Maendeleo Tanzania (TADIO) limeanza kusambaza vifaa vya kujikinga na magonjwa ya mlipuko vilivyotolewa na UNESCO Dar Es Salaam Office kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kwa vituo vya redio jamii chini ya mwamvuli wa TADIO.Vifaa hivi…
18 January 2021, 11:43 am
Ajiua kwa wivu wa Mapenzi
Mtu mmoja aliejulikana kwa jina la Chikwisu mkazi wa Majengo Newala mjini amefariki dunia baada ya kujimwagia mafuta ya petrol mwilini na kujichoma huku kisa kikitajwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi na mke wake Awali akizungumza na Newala FM mtoto…