Recent posts
9 March 2021, 11:57 am
Umeme upo wakutosha Mtwara na Lindi – TANESCO
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoa wa Mtwara limesema kwa sasa uzalishaji wa umeme Mtwara na Lindi umeongezeka na kupita kiwango cha matumizi ya mikoa hii ya Lindi na Mtwara na wanahakikisha kila mwananchi ananufaika na nishati hii ya umeme.…
9 March 2021, 09:35 am
Msitegemee Korosho tu: Makamu rais TCCIA
Wakulima mkoani Mtwara wameshauriwa kulima kilimo bora na cha kisasa ili kuendana na fursa mbalimbali za masoko na mazao ya kibiashara ikiwemo zao la muhogo. Akitoa wito huo jana Machi 08,2021 kupitia Jamii FM Radio Makamu wa rais wa chama…
9 March 2021, 09:19 am
Mkopo Milioni 162.7 wapamba siku ya Wanawake
Wananchi kata ya Nanguruwe wameonesha furaha baada ya kushuhudia baadhi ya vikundi vya wajasiriamali wakipokea mkopo wenye thamani ya Tzs. 162,770,000/= kutoka sehemu ya 10% ya mapato ya ndani ya halmashauri ya Wilaya ya Mtwara unaolenga kuwainua kiuchumi kupitia makundi…
8 March 2021, 09:52 am
Waandishi wa Habari wanawake Mtwara waadhimisha IWD21
Waandishi wa Habari Wanawake kutoka Chama cha Waandishi wa Habari Mtwara (MTPC) Leo Machi 8, 2021 wameadhimisha siku ya Wanawake Duniani katika shule ya sekondari ya Mtwara Sisters. Akizungumza katika maadhimisho hayo mwenyekiti wa MTPC Grace Kasembe amesema wameona vyema…
6 March 2021, 14:54 pm
KIWOHEDE yatoa Taulo za kike siku ya wanawake Duniani
Siku ya wanawake Duniani imeadhimishwa leo Machi 6, 2021 katika Kata ya Nanguruwe Halmashauri ya wilaya ya Mtwara kwa taasisi na Mashirika ya mbalimbali kuwashika mkono wanawake katika kuadhimisha sikukuu hii muhimu. Mkuu wa wilaya ya Mtwara Danstan Kyobya amesema…
6 March 2021, 14:15 pm
Door of hope yatoa msaada kwa ajili ya siku ya Wanawake Duniani
Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Leo 6, Machi 202, taasisi ya Door of Hope Tanzania imekabidhi kilo 200 za Mchele kwenye Halmashauri ya Mtwara Mikindani chini ya Idara ya Maendeleo ya jamii kama sehemu ya kuwashika mkono wanawake…
6 March 2021, 13:54 pm
TANESCO Mtwara wapewa siku 10 kukarabati mitambo ya kufua umeme
Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani ametoa agizo la kuhakikisha ndani ya siku 10 mashine mbili za kufua na kuzalisha umeme wa gesi asilia zinakamilika ili kuongeza upatikanaji wa umeme wa uhakika kwa Mtwara na Lindi. Waziri Kalemani ametoa agizo…
28 February 2021, 10:46 am
“Wawezeshaji mmeaminiwa kafanyeni kazi” :- Mkurugenzi Mtwara Dc
Kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mtwara Bw. Maisha S. Mtipa tarehe 27 Februari, 2021 amewataka wawezeshaji wa mpango wa kunusuru kaya maskini kupitia TASAF kuwajibika kwa walengwa huko vijijini kwakuwa serikali imewaamini. Ameyasema hayo wakati wa kufunga mafunzo…
28 February 2021, 10:14 am
DANGOTE kupiga tafu miradi ya Milioni 648 Mtwara Vijijini
Kiwanda cha saruji DANGOTE Mtwara tarehe 26 Februari, 2021 kimeingia makubaliano maalum na halmashauri ya wilaya ya Mtwara kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo yenye thamani ya milioni 648 katika sekta ya elimu, afya, maji na michezo. Makubaliano hayo yamefanyika…
27 February 2021, 11:23 am
TANESCO Mtwara yachapwa goli 3-1 na Veteran Mtwara
Timu ya shirika la umeme Tanzania(TANESCO) Mkoa wa Mtwara, wamechapwa goli 3-1 na timu ya Veteran Mtwara. Mechi hiyo ya mpira wa miguu iliyochezwa leo februari 27, 2021 kwenye viwanja vya bonanza mkoani hapa, TANESCO wamefungwa goli zote tatu katika…