Recent posts
16 April 2021, 07:46 am
Tuilinde Amani kwa nguvu
Wananchi wa Kijiji cha Ngorongoro kata ya Nanguruwe halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani hapa wameaswa kuendelea kuilinda amani kwa maslahi ya mtu mmoja mmoja, Mkoa na Taifa kwa ujumla. Hayo yamesemwa jana April 14 2021 na Diwani wa kata…
16 April 2021, 07:39 am
Mwenyekiti awasaka wanafunzi majumbani
Mwenyekiti wa mtaa wa Geza ulole kata ya Majengo Manispaa ya Mtwara mikindani mkoani Mtwara Ndugu Jafari Likulangu Amekuwa na utaratibu wa kupita nyumba hadi nyumba kufuatilia mwenendo wa masomo kwa wanafunzi wa mtaa wake kwa kukagua daftari zao. Mwenyekiti…
9 April 2021, 17:02 pm
SDA: acheni kuficha watoto walemavu
Na Karim Faida Shirika la Sports Development Aid SDA la hapa mkoani Mtwara wamewataka watu wanaowaficha watoto wenye ulemavu kuwafichua na kuwapeleka shule ili waweze kupata elimu ambayo itawasaidia baadae katika maisha ya baadae ikizingatiwa kwamba Elimu ni haki ya…
8 April 2021, 19:35 pm
Wananchi hameni
Wananchi waishio Kando ya bwawa la Kijiji Cha Msakala, kata ya Ziwani Mtwara Vijijini Jana Tarehe 07 Aprili, 2021 wametakiwa kuondoka mara Moja kuepuka kadhia ya kuharibiwa Makazi yao pindi bwawa linapojaa. Maagizo hayo yametolewa na Mkuu wa Wilaya ya…
8 April 2021, 17:32 pm
Kizito aibuka mshindi uchaguzi TCCIA
Kizito Garnoma ameibuka mshindi kwa nafasi ya Mwenyekiti wa chama cha wafanyabiashara, kilimo na Viwanda TCCIA mkoa wa Mtwara kwa miaka minne ijayo. Kizito amechaguliwa kushika wadhifa huo leo katika ukumbi wa Tiffany Diamond Mtwara huku akishinda kwa kura 45…
8 April 2021, 12:44 pm
TCCIA Mtwara kufanya uchaguzi leo
Mwenyekiti wa Chama cha wafanyabiashara, Viwanda na kilimo TCCIA mkoa wa Mtwara Swallah Said Swallah amesema hotuba ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasan imerudisha matumaini kwa wakulima, Wafanyabiashara, na wenye viwanda mkoani hapa. Amesema…
24 March 2021, 11:24 am
Njia yenye mawe yawakimbiza wanafunzi wa kijiji cha Imekuwa
Wananchi wa kitongoji cha Bohari pwani kilichopo kwenye kijiji cha Imekuwa halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani hapa wamekubaliana kuwaondoa watoto wote wenye umri wa kuanza shule katika kitongoji hicho na kuwapeleka kwenye kijiji cha Imekuwa ili waweze kupata elimu.…
23 March 2021, 18:05 pm
Naliendele Mtwara wamlilia Hayati Magufuli
Wananchi wa kata ya Naliendele Manispaa ya Mtwara Mikindani wametoa salamu za pole kwa Watanzani kufuatia kifo cha Rais Dkt.John Pombe Magufuli kilichotangazwa usiku wa kuamkia leo Machi 18,2021. Wakizungumza kwa masikitiko makubwa wameeleza namna ambavyo watamkumbuka Rais Dkt.Magufuli kwa…
16 March 2021, 08:02 am
Bibi Esha apata makazi Mapya
Jamii fm radio kwa kushirikiana na Wanasalam kanda ya kusini yaani Mikoa ya Mtwara na Lindi pamoja na wadau wengine wamefanikiwa kujenga nyumba katika eneo la Mtaa wa Namayanga Kata ya Mtawanya Manispaa ya Mtwara Mikindani kwa ajili ya Bibi…
14 March 2021, 18:08 pm
Wazazi simamieni ndoto za watoto wa kike
Shirika la Sports Development Aid (SDA) limeadhimisha siku ya Wanawake Duniani Machi 12, 2021 kwa kuandaa tamasha lililowakutanisha wanafunzi wa shule ya Msingi na Sekondari Naliendele zilizopo Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara. Lengo la tamasha hilo likilenga kuwapa elimu…