Jamii FM

Recent posts

14 January 2021, 04:46 am

Mvua zasababisha kifo

Kutokana na mvua kubwa zilizonyesha siku mbili mfululizo katika manispaa ya Mtwara mikindani,imesababisha kifo cha mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Ally Machulila (65) dereva pikipiki aliyesombwa na maji alikuwa anakatiza kwenye maji na kuzidiwa na kusababisha umauti, pia baadhi…

12 January 2021, 12:46 pm

Mvua yasababisha mafuriko Mtwara Mjini

Kufuatia mvua zilizoanza kunyesha alfajiri ya leo January 12, 2020 mkoani Mtwara, barabara katika maeneo mengi ya Manispaa ya Mtwara Mikindani zimefurika pia  nyumba kuingiwa na maji. Baadhi ya maeneo yaliyoatiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha ni pamoja na Kituo kikuu…

11 January 2021, 16:22 pm

Mtwara wahakikishiwa huduma bora za maji

Waziri wa Maji Juma Aweso amefanya ziara ya kikazi ya siku Moja Mkoani Mtwara kukagua utekelezaji wa miradi ya maji na amewahakikishia wananchi wa Mtwara hatakuwa na kikwazo katika kuwaletea huduma bora za Maji safi na salama. Waziri Aweso ameyasema…

10 January 2021, 16:16 pm

Masasi wajadili maendeleo ya Wilaya

KIKAO cha Kamati ya Ushauri Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara ( DCC) jana tarehe 9, 2021 kimeketi kwa ajili kujadili utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambayo imetekelezwa kwa kipindi cha mwaka wa fedha, 2020/ 2021 ikiwa ni kikao cha kwanza…

10 January 2021, 06:53 am

Dangote kuanza uzalishaji tena Jumatatu 11.01.2021

Uongozi wa kiwanda cha Saruji DANGOTE CEMENT Mtwara umesema jumatatu ya Januari 11, 2021 wataanza uzalishaji wa Saruji baada ya kukamilika kwa matengenezo ya baadhi ya mitambo iliyopata itirafu. Hayo yamethitishwa na Mkuu wa mkoa wa Mtwara Mh. Gelasius Byakanwa…

1 December 2020, 11:59 am

Kampeni ya kugawa Taulo za kike kwa Wanafunzi Mtwara yaanza

Moja kati ya changamoto kubwa inayowakumba  watoto wakike walioko shuleni  hadi kupelekea kujiingiza katika mahusiano wakiwa na umri mdogo ni suala la upatikanaji wa taulo za kike, hii imekuwa changamoto kubwa kwa mabinti wengi. Kwa kulitambua hilo  Mwanaidi Simba  Kutoka…

26 November 2020, 08:27 am

Wanufaika na TASAF Lindi waipongeza serikali

Wanufaika wa Mpango wa kunusuru kaya maskini (TASAF) mtaa wa Jangwani Halmashauri ya manispaa ya Lindi, wameeleza namna walivyonufaika na mradi, wameleeza  maisha ya awali na ya sasa na namna mradi ulivyosaidia familia zao. Kwa upande wake Afisa mtendaji wa…

22 November 2020, 13:45 pm

IGP Sirro awahakikishia usalama wana Mtwara

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro amesema Jeshi la Polisi litachukua muda mfupi kukabiliana na uhalifu unaoendelea katika Mkoa wa Mtwara, kama ilivyofanya katika kukabiliana na mauaji ya raia katika Wilaya za Kibiti, Rufiji na Mkuranga mkoani…

10 November 2020, 18:27 pm

Athari ya uzazi wa mpango kwa mabinti wadogo

Hujambo, karibu kusikiliza kipindi Maalum kinachoangazia Athari za utumiaji wa Dawa za uzazi wa mpango kwa mabinti wenye umri mdogo ambao wanatumia sindano na vidonge ili kujikinga na ujauzito bila kujua athari zake. Hapa utawasikia mabinti, wazazi na Daktari Deogratius…

10 November 2020, 17:49 pm

TADIO yawahasa Wanahabari kutoandika Habari za uchochezi

Waandishi wa habari hususan wa redio za kijamii Tanzania wametakiwa kuandika habari za kudumisha Amani nchini na kuacha kupendelea kuandika habari za uchochezi na zenye kuleta taaruki. Wito huo umetolewa leo na Mwezeshaji wa mafunzo ya kujenga Amani hasa baada…