Recent posts
19 October 2021, 14:51 pm
Makala: Kilimo Biashara ndani ya Mtwara
Karibu usikilize Makala ya Kilimo biashara ambapo tumezungumzia mazao mbalimbali pamoja na hali ya biashara ya mazao haya ndani ya mkoa wa Mtwara, Ungana na Musa Mtepa katika makala haya.
19 October 2021, 14:33 pm
Makala: Vyombo vya habari vina wajibu gani kwa watu wenye mahitaji maalum
Karibu usikilize makala inayohusu namna Vyombo vya habari vinawajibika kwa watu wenye mahitaji maalum, Makala haya yameandaliwa na Ramla Masali kutoka hapa Jamii fm Radio
18 October 2021, 16:35 pm
Makala: Elimu ya usafirishaji wa mitungi ya Gesi kwa bodaboda
Karibu usikilize makala haya juu ya usafirishaji wa mitungi ya Gesi kwa bodaboda, Makala haya yameandaliwa na Karim Faida. baada ya kusikiliza tunaamini utakuwa umeelimika na masuala mbalimbali yanayohusu Mitungi ya Gesi na matumizi ya jiko la gesi.
18 October 2021, 16:21 pm
Makala: Upatikanaji wa mikopo kwa wanawake
Makala haya yameandaliwa na Habiba Mpimbita kuhusu thamani ya mwanamke na safari hii anaangalia uelewa wa wanawake kama wanafahamu juu ya mikopo inayotolewa na halmashauri juu ya wajasiliamali.
14 August 2021, 16:22 pm
Polisi yamkamata “anayetuhumiwa” kuteka watoto Mtwara
Na Gregory Millanzi Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara limemkamata mtuhumiwa Jabiri Bakari (19) kwa tuhuma za uhalifu wa utekaji, ubakaji na kulawiti watoto baada ya kuwalaghai kwa njia mbalimbali na kufanikiwa kuondoka nao kwenda kwenye maeneo na kunzisha makazi…
31 July 2021, 15:18 pm
Mtwara: Watu 15 watuhumiwa kwa Viuatilifu feki
Na Musa Mtepa. Jumla ya Tani 84.3 za pembejeo Feki (Viuatilifu) zenye thamani ya Zaidi ya milioni 100 zimekamatwa katika oparesheni maalumu wakati zikipelekwa Kwa wakulima wa zao la korosho mkoani Mtwara. Akizungumza Na waandishi WA Habari ofisini kwake Mkuu…
9 July 2021, 16:30 pm
VIKUNDI 52 KUKOPESHWA MILIONI 205 MTWARA
Na Karim Faida. Jumla ya vikundi 52 kutoka Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara, wamepewa mkopo wenye thamani ya Tsh 205,047,000. Hayo yametanabaishwa na Afisa maendeleo ya jamii manispaa ya Mtwara mikindani mkoani hapa Bi Juliana Manyama jana katika hafla…
8 July 2021, 16:17 pm
Mtu mmoja afariki na wengine 11 majeruhi kwenye ajali kiwandani Dangote
Na Gregory Millanzi, MTU mmoja amefariki Dunia, watatu hali zao siyo nzuri na wengine nane kujeruhiwa kufuatia ajali iliyookea kwenye Kiwanda cha kuzalisha Saruji (DANGOTE ) kilichopo Kijiji cha Hiyari halmashauri ya Wilaya ya Mtwara. Tukio hilo limetokea Julai 7…
4 July 2021, 16:59 pm
Umeme kumfikia kila mwananchi Tanzania nzima-Naibu waziri Nishati
Na Gregory Millanzi NAIBU Waziri wa Nishati Stephen Byabato amesema, Serikali itahakikisha kuwa, Nishati ya Umeme inamfikia kila mwananchi kupitia njia mbalimbali ili maendeleo ya Viwanda yaweze kuonekana kwa uhasilia. Hayo yameelezwa leo na Naibu Waziri huyo wa Nishati wakati…
28 June 2021, 15:44 pm
Ukidhulumiwa Ardhi, fuata utaratibu
Na Karim Faida Wananchi wametakiwa kuwatumia watu sahihi pale panapotokea migogoro ya ardhi ili kupata majibu sahihi hatua ambayo itasaidia kuondokana na migogoro inayopelekea kurudisha nyuma maendeleo ya mtu mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla. Hayo yamesemwa na Wakili Amani…