Recent posts
30 November 2022, 13:12 pm
Kujihusisha na kilimo cha Bangi, kifungo cha miaka 30 jela
Na Gregory Millanzi. Afisa sheria Mkuu wa Mamlaka ya kudhibiti na kupambana na dawa za Kulevya nchini, Christina Rweshabura amesema kuwa ukibainika kujihusisha na kilimo cha bangi na Mirungi , sheria inatoa kifungo cha miaka 30 jela. Rweshabura amesema kuwa,…
30 November 2022, 12:12 pm
Ujanja ni kuchanja – sikiliza kipindi kuhusu chanjo ya Uviko 19
Na Mohamed Massanga Chanjo ya uviko 19 imekuwa na mapokezi mazuri kwa jamii ya watu wa mkoa wa mtwara na lindi, sikiliza kipindi hiki upate elimu juu ya chamjo na usikilize shuhuda za watu waliochanja.
28 November 2022, 14:54 pm
Tunajenga chuo cha Mafuta, Gesi na Umeme ili kuwajengea uwezo watu wetu
Waziri wa Nishati, Januari Makamba akiwa kwenye utiaji saini mkataba wa uzalishaji na ugawanaji mapato (PSA) kitalu cha Ruvuma – Mtwara, Waziri Makamba amesema >> ‘Ndugu zangu wa Lindi na MTWARA – sasa nchi yetu inaanza kuingia kwenye uchumi wa…
24 November 2022, 15:00 pm
TRA Mtwara yavuka malengo makusanyo Julai-September 2022
Na Gregory Millanzi. MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA ) Mkoa wa Mtwara imevuka lengo la kukusanya Shilingi Bilioni 8.902 kati ya Julai na Septemba 2022 ikiwa sawa na asilimia 110 .67 ya lengo la kukusanya Shilingi Bilioni 8.043 kwa Kipindi…
21 November 2022, 15:50 pm
Mil.27.8 za Mapato ya ndani zatumika kutekeleza Afua za Lishe Mtwara Manispaa.
Na Gregory Millanzi. Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara-Mikindani imetumia shilingi milioni ishirini na saba na laki nane (27,800,000) kutoka katika mapato yake ya ndani kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za afua za lishe kwa Watoto wenye umri chini ya…
17 November 2022, 16:52 pm
WAJAWAZITO LIKOMBE WAENDELEA KUONWA, WAPOKEA VIFAA VYA KUJIFUNGULIA KUTOKA PLATI…
Na Gregory Millanzi Kampuni ya Utoaji wa mikopo ya Platinum Novemba 10,2022 imekabidhi vifaa tiba vya kujifungulia vyenye thamani ya shilingi milioni sita( 6,000,000) kwa Kituo cha afya cha Likombe kilichopo Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani ili kusaidia kutatua…
2 November 2022, 13:17 pm
Kamati ya Lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara yafanya tathimini
Na Gregory Millanzi Kamati ya lishe ya Halmashauri ya Wilaya Mtwara jana Novemba 1, 2022 imefanya kikao cha tathmini na Mkataba wa Lishe wa Kata na Vijiji. Afisa lishe wa Halmashauri ya Wilaya Mtwara Bi. Magreth Tingo amewasilisha taarifa ya…
10 August 2022, 15:29 pm
KIPINDI (LIVE): Elimu ya namna ya kudhibiti Ugonjwa Kifua Kikuu (TB)
Ugonjwa wa kifua kikuu ni ugonjwa unaoennezwa kwa njia ya hewa na hii huenezwa kwa njia tofauti, ungana na mwandishi wetu Mwanahamisi chikambu pamoja Dk. Boniface Jengela ambaye ni mratibu wa kudhibiti kifua kikuu (TB) na ukoma katika halmshauri ya…
1 August 2022, 12:30 pm
Nafasi ya Mwanaume kwenye malezi ya watoto
. Sikiliza Makala inayozungumzia Nafasi ya Mwanaume kwenye malezi ya watoto, Makala haya yameandaliwa na Mwanahamisi chikambu
28 July 2022, 19:12 pm
Balozi wa Sweden atembelea Waandishi wa Habari Mtwara
Balozi wa Sweden 🇸🇪 nchini Tanzania Anders Sjöberg, leo julai 28,2022 ametembelea katika ofisi za Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara (MTPC) zilizopo katika jengo la Chama cha waalimu – CWT, mkoani humo. Balozi huyo amepokelewa na viongozi…