Jamii FM
Jamii FM
30 November 2022, 12:12 pm
Na Mohamed Massanga
Chanjo ya uviko 19 imekuwa na mapokezi mazuri kwa jamii ya watu wa mkoa wa mtwara na lindi, sikiliza kipindi hiki upate elimu juu ya chamjo na usikilize shuhuda za watu waliochanja.