Wahitimu wa mafunzo ya udereva mkoani Katavi watakiwa kufuata sheria za bara barani
12 September 2023, 9:49 am
John Shindika Askari wa usalama barabarani kutoka kitengo cha elimu mkoa wa Katavi akitoa mafunzo ya udereva.
Tumieni vyema mafunzo mliopatiwa mkiwa darasani
Na John Benjamini -Mpanda
Wahitimu wa mafunzo ya udereva wa vyombo vya moto mkoani Katavi wametakiwa kufuata sheria na kanuni za bara barani ili kuepusha ajali zinazoweza kuzuilika.
Hayo Yamebainishwa na mratibu mwandamizi jeshi la polisi mkoa wa Katavi Leopard Fungwa ambaye ni mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Katavi akizungumza na wahitimu wa mafunzo ya awali katika chuo Cha makongolo international driving school ambapo amewataka kuhakikisha wanaotumia vyema mafunzo waliopatiwa wakiwa darasani
KWA UNDANI WA HABARI TUUNGANE NA JOHN BENJAMIN