Recent posts
17 October 2024, 11:25
Kanisa la anglikana laahidi kuunga mkono serikali utoaji huduma
Askofu kanisa la Anglikana dayosisi ya western Tanganyika mkoa wa kigoma amesema kanisa lipo tayari kushiriki na kuunga juhudi za Serikali katika kuboresha miundombinu ya maendeleo. Na Hagai Ruyagila- Kasulu Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Western Tanganyika Mkoani Kigoma Limesema…
16 October 2024, 15:33
Walimu Kasulu watakiwa kulinda Wanafunzi dhidi ya Ukatili
Walimu katika kata ya titye wilayani kasulu wametakiwa kuzingatia miongozo ya utumishi wa umma ili kuhakikisha wanawalinda wanafunzi wao na vitendo vya ukatili.
16 October 2024, 14:35
Wananchi Kibondo wajitokeze kujiandikisha daftari la kura
Zikiwa zimesalia siku nne pekee kabla ya zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la mkaazi kwa ajili kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa viongozi wa dini wameendelea kuhamasisha wananchi kutumia muda uliobaki kujiandikisha ili waweze kuchagua viongozi wa serikali za…
16 October 2024, 12:55
Polisi Kigoma yawataka wananchi kusalimisha silaha
Jeshi la polisi Mkoani Kigoma limewataka wananchi ambao hawajasalimisha silaha zao kufanya hivyo kwani muda wa kusalimisha ukiisha msako mkali utaanza ili kuwabaini wanaomiliki silaha kinyume cha sheria. Na Josephine Kiravu – Kigoma Wananchi Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kusalimisha kwa…
15 October 2024, 12:12
Askofu Bwatta awataka waumini kujiandikisha daftari la kura
Viongozi wa dini wametakiwa kuendelea kuwahamasisha waumini wao kuendelea kujitokeza na kujiandikisha kwenye daftari la mkazi ili waweze kupata nafasi ya kushiriki kwenye uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa. Na Lucas Hoha – Kasulu Askofu wa Kanisa la Anglikani…
15 October 2024, 11:45
Wananchi waomba viongozi kuishi maono ya hayati Mwalimu Nyerere
Mkuu wa Wilaya Kasulu mkoani Kigoma Kanali Isac Mwakisu amesema serikali na viongozi wataendelea kuyaenzi na kusimamia misingi iliyowekwa na mwaasisi wa taifa hili hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Na Lucas Hoha – Kasulu Wananchi wa kijiji cha Mvugwe kata ya…
14 October 2024, 12:29
DC Kasulu: Jiandikisheni ili muwe na sifa za kupiga kura
Wananchi wamehimizwa kuendelea kujitkeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la makazi ili waweze kupata nafasi ya kuchagua viongozi wa serikali za mitaa. Na Lucas Hoha – Kasulu Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma Kanali Isaac Mwakisu amewaomba wananchi wa…
14 October 2024, 11:53
Prof. Ndalichako awataka vijana kugombea nafasi za uongozi
Wakati zoezi la kujiandkisha kwenye daftari la makazi kwa ajili ya wapiga kura kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa vijana wameaswa kujitokeza na kugombea nafasi mbalimbali za uongozi. Na Emmanuel Kamangu – Kasulu Vijana na wanawake kata yaMrusi halmashauri ya…
11 October 2024, 08:43
Kamati za utoaji mikopo ya asilimia 10 epukeni rushwa
Serikali wilayani kasulu imewataka viongozi na kamati zinazosimamia utoaji wa mikopo ya asilimia 10 inatolewa na halmashauri kupitia mapato ya ndani kuwa waadilifu. Na Lucas Hoha – Kasulu Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma Nurfus Aziz…
10 October 2024, 16:58
Migomba elfu 29 kusambazwa kwa wakulima Buhigwe
Shirika la Plantvillage limesema linatarajia kupanda miche ya migomba kwenye eneo la ekari 32 itakayokuwa inatumika kwa wakulima ili kupunguza migamba inashambuliwa na magonjwa. Na Michael Mpunije – Buhigwe Katika kukabiliana na ugonjwa wa Funga shada ya Migomba ambao umeshambulia…