Recent posts
24 October 2024, 11:37
Wazee walia na unyanyasaji kwenye jamii Kigoma
Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa maendeleo wamesema wataendelea kuweka mazingira bora na rafiki kwa wazee mkoani Kigoma ili wajione kuwa sehemu ya jamii. Na Winfrida Ngassa – Kigoma Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dr. Rashid Mohamed Chuachua amekemea…
24 October 2024, 09:06
Watendaji watakiwa kuwa wabunifu utoaji wa chakula shuleni
Serikali wilayani Buhigwe imesema inaendelea kuweka mikakati mbalimbali ya kukabiliana na tatizo la udumavu kwa watoto ikiwa ni pamoja na kusimamia suala la chakula shuleni ili wanafunzi waweze kupata chakula. Na Emmanuel Kamangu – Buhigwe Mwenyekiti wa kamati ya lishe…
23 October 2024, 12:18
Ukweli wote zoezi la uandikishaji wapiga kura Kigoma
Viongozi wa siasa mkoani Kigoma kupitia umoja wa vyama vya siasa mkoani hapa wameeleza kuridhishwa na zoezi la uandikishaji kwenye daftari la wakazi kwa ajili ya kupata sifa ya kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024. Na, Josephine…
22 October 2024, 10:43
Kasulu yafikia lengo uandikishaji daftari la mkazi
Wakati zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la makaazi likifikia tamati oktoba 20, 2024, Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya Kasulu Dkt. Semistatus Mashimba amesema halmashauri hiyo imefikia lengo la zoezi hilo la kijiandikisha. Na Michael Mpunije – Kasulu Wilaya ya Kasulu…
22 October 2024, 09:19
Ufadhili wa masomo ya ufundi wawakosha wanafunzi Kakonko
Serikali wilayani Kakonko imesema itaendelea kuwapa mikopo vijana wanahitimu mafunzo ya ufundi stadi ili waweze kutumia mikopo hiyo kujiajiri kupitia shughuli mbalimbali za uzalishaji mali na kujiongezea kipato. Na James Jovin – Kakonko Wanafunzi waliohitimu mafunzo ya ufundi stadi katika…
18 October 2024, 17:30
Askofu Emmanuel Bwatta ajiandikisha kwenye daftari la mkaazi Kasulu
Askofu wa Kanisa la anglikana dayosisi ya western Tanganyika Mhashamu Emmanuel Bwata amewataka wananchi kujiandikisha ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa serikali za mita. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wito umetolewa kwa wananchi wa wilaya ya Kasulu Mkoni Kigoma kutumia…
18 October 2024, 16:56
DED Kasulu ahimiza wananchi kutumia muda uliobaki kujiandikisha
Wakati zikiwa zimesalia siku mbili kabla ya zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la mkaazi kufungwa hapo oktoba 20 mwaka huu, wananchi wametakiwa kutumia muda huo kujitokeza na kujiandikisha ili waweze kupata nafasi ya kushiriki kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa…
17 October 2024, 17:19
Waandishi waendesha ofisi walia na ujio wa akili mnemba
Watumishi wa Umma katika kada ya Waandishi waendesha Ofisi mkoani Kigoma wamelalamikia baadhi ya wakuu wa idara na vitengo kushidwa kuthamini kazi zao huku wakiwa katika hatari ya kupoteza ajira kutokana na mabadiliko ya Sayansi na Technolojia baada ya kazi…
17 October 2024, 13:19
RC Kigoma ahamasisha wananchi kutumia muda uliobaki kujiandikisha
Ukosefu wa Elimu Kwa Wananchi Mkoani Kigoma, Umepelekea kuchanganya zoezi la kuandikisha wapiga kura, na vitambulisho vya mpiga kura, na huenda wengi wao wakakosa sifa za kuwa na uhalali wa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, kwa kushidwa kujitokeza katika…
17 October 2024, 11:48
Vurugu zaibuka wananchi wakigombania mipaka ya kijiji
Vurugu Zimezuka Kati ya Viongozi Wa Vijiji Na Wananchi Katika Kata ya Biharu Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, Wakigombania mpaka wa Vijiji Hivyo, ambao umedumu kwa Mda Mrefu na kusababisha shughuli za Uzalishaji hasa Kilimo Kusimama, ambapo Tume ya Taifa…