Recent posts
4 November 2024, 08:33
Bilioni 16 kujenga soko la kisasa Mwanga, mwalo Katongo Kigoma
Serikali imesema itaendelea kuboresha miundombinu mbalimbali na huduma za jamii ili kusaidia kuinua uchumi wa wananchi na taifa kwa ujumla. Na Lucas Hoha – Kigoma Zaidi ya shilingi bilioni 16 zimetengwa na serikali kwa ajili ya ujenzi wa Soko la…
3 November 2024, 20:39
Watakaovuruga uchaguzi Buhigwe kukiona cha moto
Halmashauri ya wilaya Buhigwe kupitia kwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Kanali Michael Ngayalina imesema imejianda vyema kuhakikisha ulinzi unaimarika katika kipindi cha uchaguzi wa serikali za mitaa. Na Michael Mpunije – Buhigwe Kamati ya Usalama ya wilaya…
1 November 2024, 12:15
Nyumba 10 zimebomoka kutokana na mvua Kasulu
Kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha Mkoani Kigoma zimesababisha baadhi ya nyumba kubomoka na mali za watu kuharibiwa. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Zaidi ya nyumba 10 katika mtaa wa mkombozi kata ya murusi halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma zimebomoka na…
29 October 2024, 11:09
Makala: Uboreshaji wa barabara Kigoma ulivyoinua uchumi
Serikali Mkoani Kigoma kupitia kwa Mkuu wa mkoa huo Kamishana Jenerali Mstaafu wa Jeshi la zimamoto na uokoaji Thobias Andengenye serikali imeendelea kuufaungua mkoa wa kigoma kwa kujenga na kuboresha miundombinu ya barabara na kurahisisha Mkoa wa kigoma kufunguka kibiashara…
28 October 2024, 15:32
Madaktari bingwa waweka kambi hospitali ya rufaa maweni Kigoma
Madaktari bingwa na mabingwa bobezi 31 wameanza Kambi ya matibabu ya Siku Tano ikiwa ni katika kuadhimisha miaka Hamsini (50) tangu kuanzishwa kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma Maweni. Na Lucas Hoha – Kigoma Wananchi Mkoani Kigoma wamepongeza…
28 October 2024, 13:03
Wahitimu FDC Kasulu watakiwa kuwa wabunifu kujipatia kipato
Katibu tawala wilaya Kasulu Mkoani Kigoma Bi. Theresia Mtewele amesema tayari serikali imefungua zoezi la utoaji wa mikopo ya asilimia kumi inayotolewa na halamshauri kupitia mapato ya ndani na hivyo vijana wanaohitimu mafunzo ya ufundi hawana budi kuchangamkia fulsa hiyo…
25 October 2024, 16:11
Bilioni 20 kutumika ujenzi wa barabara Buhigwe
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya nyongeza kutoka mradi mkuu wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami Kabingo, Kasulu hadi Manyovu yenye urefu wa Km. 260, kukamilisha miradi hiyo kwa wakati ili kuendana…
25 October 2024, 13:40
Idadi ya wanaojifungulia kwa wakunga wa jadi yapungua Kibondo
Serikali imesema itaendelea kuhamasisha wajawazito kuhakikisha wanajifungulia kwenye vituo vya kutolea huduma za afya ili kuendelea kupunguza vifo vya watoto wachanga na watoto. Na James Jovin – Kibondo Idadi ya akina mama wajawazito wanaojifungulia kwa wakunga ama waganga wa jadi…
25 October 2024, 09:49
Wananchi Buhigwe walalamikia mradi mpya wa maji
Baadhi ya wananchi wa kata ya Kinazi wilayani Buhigwe mkoani Kigoma wameiomba serikali kukarabati mradi wa maji wa zamani ambao ulikuwa ukitoa huduma kwa wananchi wa kata hiyo baada ya mradi wa maji wa sasa kushindwa kutoa huduma hiyo kwa…
24 October 2024, 12:14
Kamati vyama vya siasa yaridhishwa mwenendo wa uandikishaji
Viongozi wa siasa mkoani Kigoma kupitia Umoja wa vyama vya siasa mkoani hapa wameeleza kuridhishwa na zoezi la uandikishaji kwenye daftari la wakazi kwa ajili ya kupata sifa ya kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika novemba 27,2024. Na, Josephine…