Recent posts
3 December 2024, 11:22
Baiskeli 27 zagawiwa kwa wakulima wawezeshaji wa zao la pamba
Mkuu wa Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma Kanali Isac Mwakisu amesema serikali itaendelea kuwasaidia wakulima kwa kuwawezesha nyenzo mbalimbali zitakazowawezesha kulima kilimo chenye tija. Na Michael Mpunije – Kasulu Halmshauri ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma imekabidhi baiskeli 27 kwa wakulima…
2 December 2024, 15:42
Mwalimu kutumia siku nane kusafiri kwa baiskeli Kigoma hadi Dodoma
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Ijunga Halmshauri ya Kasulu mji Wenseslaus Lugaya ameamua kutumia usafiri wa baiskeli kutoka Kigoma hadi jijini Dodoma lengo likiwa ni kutangaza miradi ambayo inatekelezwa ndani ya serikali ya awamu ya sita sambamba na kuhamasisha…
2 December 2024, 12:44
Viongozi serikali za mitaa watakiwa kulinda amani na usalama
Viongozi waliochaguliwa katika uchaguzi wa Serikali za mitaa wametakiwa kuhakikisha wanalinda amani na usala katika maeneo yao. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mkuu wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma Kanal Isaac Mwakisu amewataka viongozi wa serikali za vijiji na vitongoji…
29 November 2024, 17:23
Anusurika kifo baada ya kuchomewa ndani na mme wake
Wakati tukiwa kwenye siku 16 za kupinga ukatilii wa kijinsia na elimu kuendelea kutolewa kwa jamii bado ukatilii wa aina mbalimbali umeendelea kufanyika. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Mwanamke mmoja mkazi wa mtaa wa Mkapa kata ya Kumnyika halmashauri ya…
25 November 2024, 14:27
Askofu Mlola awataka vijana kukemea rushwa Kigoma
Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma Mhashamu Joseph Mlola amewataka vijana kuwa mstari mbele kukemea vitendo vya rushwa kwenye jamii hasa kipindi hiki cha uchaguzi wa Serikali za mitaa. Na Emmanuel Kamangu Vijana mkoani Kigoma wametakiwa kuhakikisha wanakemea ruswa…
21 November 2024, 12:54
Mkandarasi akabidhiwa mkataba, ramani ya soko la Mwanga Kigoma
Mkandarasi anayetajaiwa kujenga soko la mwanga na mwalo wa Katonga Manispaa ya Kigoma Ujiji ametakiwa kuanza ujenzi wa miradi hiyo ili iweze kukamilika kwa wakati na ubora unaotakiwa. Na Lucas Hoha – Kigoma Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji Kisena…
21 November 2024, 10:04
CCM walia na migogoro ya ardhi, umeme Kigoma
Wakati kampeni za uchaguzi wa Serikali za mitaa zikiwa zimenduliwa rasmi, viongozi wa chama cha mapinduzi wameomba serikali kuaidia kutatua changamoto za ukosefu wa umeme na migogoro ya ardhi. Na Emmanuel Kamangu – Kasulu Serikali kupitia chama cha mapinduzi ccm…
21 November 2024, 09:36
Serikali yatenga fedha utatuzi wa changamoto ya umeme Kigoma
Serikali imesema tayari imekwisha tenga fedha za kuhakikisha inatatua changamoto zaukosefu wa umeme kwa wananchi wa mkoa wa Kigoma ili kuhakikisha umeme wa uhakika unakuwepo kupitia gridi ya Taifa. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano…
19 November 2024, 14:27
Wagombea watakiwa kufanya kampeni kwa amani Buhigwe
Kampeni za uchaguzi wa serikaili za mitaa zinazinduliwa rasmi kitaifa katika eneo la Kiganamo Hamlmashauri ya mji wa Kasulu na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wakati kampeni za uchaguzi…
19 November 2024, 10:34
Watumishi 7 kukatwa asilimia 15 ya mshahara wao Kibondo
Baraza la madiwani la halmashauri ya Wilaya ya Kibondo limeadhimia watumishi Saba wa idara ya afya kukatwa asilimia 15 ya mshahara wao kwa kipindi cha miaka mitatu na kurudisha fedha zaidi ya milioni 70 walizohujumu Serikali kwa kuuza dawa na…