WANANCHI WALIA NA BEI ZA NAULI
8 June 2022, 4:01 pm
Baadhi ya wananchi mkoani katavi wameuomba uongozi unao simamia vyombo vya usaifi mkoani hapa kupunguza bei ya nauli na kiirejesha kama ilivo kuwa hapo awali.
Wakizungumza na kituo hiki baaadhi ya wananchi wamesema kuwa kupanda kwa bei ya nauli kwa vyombo vya usafiri imekuwa ni changamoto inayo kwamisha baadhi ya shuhuli za kimaendeleo kuendelea.
kwa upande wake mwenyekiti wa babaji mkoa wa katavi MOSES CHARLES MKUMBWA amewaomba wananchi kuwa na subira wakati wakiendelea kulitaftia ufumbuzi suala hilo.
Hivi karibuni mamlaka ya udhibiti wa nishati na maji (EWURA) ilitangaza bei mpya ya mafuta huku kukiwa na unafuu kutoka na ruzuku ya shilingi bilioni 100 iliyotolewa na rais samia suluhu hassan mapema mwanzoni mwa mwezi huu.