Joy FM
Joy FM
18 November 2025, 11:50
Serikali ya Mkoa wa Kigoma imewatoa shukrani kwa wawakilishi wa nchi na wadau wa maendeleo kwa kufanikisha kuendelea kufadhili miradi mbalimbali ya kijamii katika kambi za wakimbizi zilizopo Kigoma Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro…
17 November 2025, 17:12
Wahitimu katika chuo cha ufundi stadi veta Wilayani Kibondo mkoani Kigoma wamehimizwa kutumia mafunzo waliyoyapata kwa ajili ya manufaa yao ili waweze kujikwamua katika maisha yao ya kila siku hali itakayopunguza wimbi la vijana wasio na ajira hapa nchini. Na…
17 November 2025, 15:32
Serikali katika Halmashauri ya Mji wa Kasulu imewataka wakulima kutunza vizuri miche ya kahawa waliyopewa ili iweze kuwanufaisha na kuongeza kipato cha familia na Taifa kwa ujumla Na Hagai Ruyagila Zaidi ya miche Milioni 1.3 ya Kahawa imegawiwa kwa wakulima…
17 November 2025, 13:24
Wazazi na walezi Mkoani Kigoma wametakiwa kuhakikisha wanawalea watoto wao katika malezi yaliyo bora Na Hagai Ruyagila Katibu tawala wa mkoa wa Kigoma Hassan Rugwa amewataka maafisa maendeleo ya jamii na maafisa ustawi wa jamii katika Halmashauri zote za Mkoa…
17 November 2025, 13:20
Na Timotheo Leonard Wananachi Mkoani Kigoma wameaswa kuzingatia lishe bora ya makundi sita ya vyakula ili kuimarisha afya zao kwa kuongeza virutubishi mwilini vinavyoimarisha mwili na akili. Kauli hiyo imetolewa na Afisa lishe Mkoa wa Kigoma James Mbalabo wakati akizungumza na…
17 November 2025, 12:45
Serikali Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma imesema inaendelea kuboresha miundombinu ya maji ili kuhakikisha upatikanaji wa maji kwa wananchi umaimarika zaidi kwa kupata maji safi na salama Na Sadick Kibwana Wananchi Wilayani Uvinza Mkoani Kigoma wametakiwa kusaidia kutunza na kuchangia huduma…
17 November 2025, 08:56
Mkoa wa Kigoma umeanza rasmi utekelezaji wa ujenzi wa masoko pembezoni mwa barabara umeanza ili kuhakikisha wajasiriamali wanapata sehemu ya kuuzia. Na Mwandishi wetu Serikali mkoani hapa inatekeleza mradi wa ujenzi wa masoko madogo 14 yenye Thamani ya Shilingi Mil.490…
13 November 2025, 09:04
Serikali imetaka miundombinu ya barabara kuelekea hifadhi ya mahale kuimarishwa ili kurahsisha usafir wa watali Na Mwandishi wetu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro, amewaelekeza Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, pamoja na Wakala wa Barabara za Mijini na…
7 November 2025, 09:10
Mkuu wa Mkoa Kigoma Balozi Simon Sirro ametoa mwezi mmoja kwa uongozi wa Manispaa ya Kigoma ujiji kupitia kwa Mkuu wa Wilaya hiyo kuhakikisha huduma ya choo inapatikana katika soko la Nazareti Na Mwandishi wetu Wafanyabiashara katika soko la wakulima…
7 November 2025, 08:51
Baadhi ya vijiji yatakapojengwa masoko hayo ni Simbo wilayani Kigoma, Kazuramimba na Nguruka wilayani Uvinza na Rusesa, Kasangezi na Bugaga wilayani Kasulu. Na Emmanuel Matinde Serikali Mkoani Kigoma imeanza mpango wa ujenzi wa masoko madogo ya wachuuzi kwenye vituo vidogo…
Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like
building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.
Missions
Visions
The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.
Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.