Joy FM
Joy FM
8 October 2025, 13:08
Serikali kupitia Idara ya Kilimo Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma imewataka wananchi kuhakikisha wanawekeza katika kilimo cha pamba ili kujiongezea kipato kwa familia na taifa kwa ujumla. Na Hagai Ruyagila Wananchi wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuwekeza nguvu katika kilimo…
8 October 2025, 12:04
Serikali imeendelea kuwakumbusha wamiliki wa vyombo vya habari kufuata matakwa ya kisheria kwa kuhakikisha wanatumia na kuajiri waandishi wa habari wenye taaluma ya habari. Na Josephine Kiravu Wamiliki wa vyombo vya habari mkoani Kigoma wametakiwa kuajiri wanahabari wenye taaluma ya…
8 October 2025, 11:39
Baraza la habari Tanzania (MCT) limetoa mafunzo maalum kwa waandishi wa habari Mkoani Kigoma yenye lengo la kupambana na changamoto za habari na taarifa potofu, na mwongozo wa sheria kuhusu upatikanaji wa taarifa na ushiriki wa taasisi za Serikali katila…
6 October 2025, 10:03
Wito umetolewa kwa wazazi na walezi kuwaunga mkono watoto wao katika masomo wanayopenda kusoma na kuacha kuwalazimisha kusoma masomo ambayo hawayawezi Na Emmanuel Kamangu Wanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari Mikamba Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma wamewaomba…
2 October 2025, 09:34
Serikali imeahidi kuendelea kuboresha maisha ya wazee kwa kuwasaidia kupata matibabu na mahitaji mengine muhinu kama sehemu ya kuambua mchango wao katika jamii. Na Hagai Ruyagila Baadhi ya wazee katika Halmashauri ya Mji Kasulu wameiomba serikali kuwaangalia kwa jicho la…
2 October 2025, 08:39
Wananchi zaidi ya elfu saba mkaoni Kigoma wamenufaika na huduma ya matibabu kutoka kwa madaktari bingwa wabobevu wa Mama Samia na kuokoa maisha ya Watanzania hasa wenye hali ya chini. Na Tryphone Odace Wananchi zaidi ya laki mbili wamepatiwa matibabu…
1 October 2025, 16:03
Karibu kusikiliza Makala ya wanawake na uchaguzi ambapo leo tunaangazia suala la vitendo vya udhalilishaji wa wanawake wanasiasa hasa katika kipinidi cha kampeni kueleke uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025.
26 September 2025, 17:30
Mfuko wa hifadhi ya jamii wa NSSF umegawa mitungi ya gesi kwa mam lishe, baba lishe na wastaafu ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jududi za serikali katika kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia. Na Tryphone Odace Mkuu wa…
26 September 2025, 14:59
Uzazi wa mpango ni moja ya nyenzo muhimu katika kuimarisha afya ya jamii, kukuza ustawi wa familia na kuchochea maendeleo kiuchumi. Huu ni mchakato unaowezesha wanandoa au watu binafsi kupanga idadi ya watoto wanaotaka kuwapata, muda wa kuwapata na nafasi…
25 September 2025, 15:46
Serikali imesema itaendelea kuweka mikakakti ya kuwawezesha wanafaika wa mikopo ya asilimia kumi ili waweze kujiinua kiuchumi Na Sadick Kibwana Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Dkt Rashid Chuachua, ametoa wito kwa wananchi zaidi ya 500 ambao ni wanufaika wa mikopo…
Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like
building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.
Missions
Visions
The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.
Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.