Recent posts
6 December 2024, 09:37
Viongozi wa serikali za mitaa kuhimiza wazazi kuchangia chakula shuleni
Viongozi wa serikali za mitaa wametakiwa kuhamasisha suala la chakula shuleni ili kusaidia watoto kupata chakula na kuweza kusoma vizuri. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wenyeviti wa vijiji, vitongoji na wajumbe katika halmashauri ya wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma waliochaguliwa…
5 December 2024, 14:49
REA yazindua mradi kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia
Serikali imeendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa kuhakikisha kilamwananchi anakuwa na uwezo wa kutumia majiko ya gesi ili kupunguza uharibifu wa mazingira unaotokana na ukataji miti kiholela. Na Tryphone Odace – Kigoma Serikali kupitia wakala wa Nishati…
5 December 2024, 13:30
Watoto wajengewe msingi mzuri wa masomo
Ili watoto waweze kufikia ndoto zao wazazi wanapaswa kuwekeza katika msingi iliyo imara katika masomo. Na Prisca Kizeba – Kigoma Askofu Mkuu wa Makanisa ya New Hope ambaye pia ni Mkurugenzi wa shule ya Kembrigi Josphat Njige amewataka wazazi kuwajengea…
5 December 2024, 12:19
Wazazi, walezi pingeni vitendo vya ukatili kwa watoto
Wadau mbalimbali mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kushirikiana na Serikali kupinga vitendo vya ukatili katika maeneo yote Na Orida Sayon-Kigoma Wazazi na walezi katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wametakiwa kukaa na watoto wao na kuwapa elimu ya ukatili wa kijinsia ili…
4 December 2024, 13:19
Mme auwa mke wake na mwili kutupwa chooni
Wakati tukiwa ndani ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia na elimu ikiendelea kutolewa bado hali si shwari kwani vitendo hivyo vimeendelea kutokea hasa kwa wanandoa. Na Mullovan Cheppa – Kigoma Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Dorcas Nyerere…
4 December 2024, 12:42
CRDB yakabidhi madawati 40 shule ya msingi kabulanzwili Kasulu
Wadau wa maendeleo Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuendelea kuisadia Serikali kujitokeza kuchangia michango kwenye sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu ili kuinua kiwango cha ufaulu kwa wananfunzi. Na Michael Mpunije – Kasulu Benki ya CRDB kanda ya magharibi imekabidhi…
4 December 2024, 12:16
Katibu wa siasa uenezi na mafunzo CCM Kigoma atembelea mkurugenzi wa uchaguzi AD…
Siku chache baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka 2024, Katibu wa siasa, uenezi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma Deogratius Nsokolo amemtembelea Mwenyekiti wa kitongoji cha Mwandiga Kaskazini ambaye…
3 December 2024, 14:51
Wananchi watakiwa kutoa ushirikiano kwa viongozi wa mitaa Buhigwe
Halmashauri ya Wilaya Buhigwe Mkoani Kigoma kupitia kwa mkurugenzi amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa viongozi wa serikali za mitaa ili waweze kufanya kazi na kuchochea maendeleo ya wananchi na taifa kwa ujumla. Na Emmanuel Kamangu – Buhigwe Wananchi wa Wilaya…
3 December 2024, 14:39
Wazazi na walezi watajwa chanzo cha kuharibu ushahidi mahakamani kesi za ukatili
Wazazi na walezi wametakiwa kutokuwa sehemu ya kukwamisha na kuharibu ushahidi dhidi ya watau wanaotekeleza vitendo vya ukatili kwenye jamii. Na Josephine Kiravu Tukiwa katika muendelezo wa siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Hakimu mfawidhi mahakama ya mkoa wa…
3 December 2024, 11:22
Baiskeli 27 zagawiwa kwa wakulima wawezeshaji wa zao la pamba
Mkuu wa Wilaya Kasulu Mkoani Kigoma Kanali Isac Mwakisu amesema serikali itaendelea kuwasaidia wakulima kwa kuwawezesha nyenzo mbalimbali zitakazowawezesha kulima kilimo chenye tija. Na Michael Mpunije – Kasulu Halmshauri ya wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma imekabidhi baiskeli 27 kwa wakulima…