Recent posts
9 October 2024, 11:40
Wazazi waaswa kulea watoto katika maadili mema
Wanafunzi wanaohitimu elimu ya kidato cha nne katika shule ya sekondari Rev. A. Bungwa iliyopo halmashauri ya mji wa kasulu wametakiwa kuwa na maadili mema kwenye jamii na kufuata misingi waliyofundishwa kwa kipindi chote walichokuwepo shuleni kwa manufaa yao ya…
8 October 2024, 09:54
Madaktari bingwa waweka kambi ya matibabu Kigoma
Baadhi ya wananchi wa Mnispaa ya Kigoma Ujiji wamepengeza hatua ya ujio wa madaktari bingwa wa Dkt. Samia Suluhu Hassan na kuwa itasaidia kupata huduma za kibingwa na kuokoa gharama ambazo wangetumia kwenda kutafuta matibabu nje ya mko wa Kigoma.…
7 October 2024, 13:33
Raia wa kigeni waonywa kutojihusisha na uchaguzi serikali za mitaa
Wakati siku zikienda mbio kuelekea siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa na kampeni za kuhamasisha wananchi wenye siku kujitokeza na mkoa wa kigoma unatajwa kuwa miongozi mwa mikoa inayokuwa na raia wa kigeni na hivyo kutakiwa kutojihusisha kwenye uchaguzi…
7 October 2024, 12:55
DC Kigoma aagiza watumishi 4 kusimamishwa kazi
Watumishi katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wametakiwa kufanya kazi kwa weledi pasipo kuingiza hasara kwa serikali ili kurahisisha upatikanaji wa huduma muhimu kwa wananchi na maendeleo ya taifa kwa ujumla. Na Joesphine Kiravu Mkuu wa Wilaya ya Kigoma…
4 October 2024, 17:21
Benki ya EXIM yaahidi kutoa huduma bora kwa wateja wake
Benki ya Exim tawi la Kigoma imesema itaendelea kuboresha na kutoa huduma bora kwa wateja wake huku ikiwataka wafanyabiashara na mashirika yaliyopo mkoani kigoma kujitokeza na kuomba mikopo inayotolewa na benki hiyo kwa lengo la kukuza biashara zao. Na Joha…
4 October 2024, 13:27
Wazazi watakiwa kuwezesha watoto kupata elimu bora
Serikali imewataka wazazi na walezi kuendelea kuwapeleka watoto wao shule ili kupata elimu itakayowasaidia kuweza kutimiza ndoto zao. Na Lucas Hoha – Kasulu DC Wazazi katika halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuwalea watoto wao katika maadili mema…
4 October 2024, 13:03
Jamii yaaswa kutowaficha watoto wenye ulemavu
Wito umetolewa kwa jamii na wadau wa maendeleo kutoa taarifa za watoto wenye ulemavu na kuwafichua ili waweze kupelekwa shule na kupata elimu kama watoto wengine kwenye jamii. Na Sadiki Kibwana – Kigoma Wazazi na walezi Manispaa ya Kigoma Ujiji…
4 October 2024, 11:48
Wadau watoa msaada wa vyakula na vifaa shule ya kasange
Wadau wa maendeleo wilayani kasulu mkoani kigoma wametakiwa kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali katika kusaidia kuboresha elimu ili kusaidia watoto waweze kupata haki yao ya elimu. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Katika kuunga mkono juhudi za serikali za kuhakikisha…
3 October 2024, 15:09
Viongozi wa siasa, dini Kigoma wakoshwa na maandalizi ya uchaguzi
Viongozi wa dini na vyama vya siasa mkoani kigoma wamesema wameridhishwa na hali ya maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika novemba 27 mwaka huu. Na Josephine Kiravu – Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mhe. Thobias Andengenye…
3 October 2024, 13:46
Diwani aomba serikali kutatua changamoto ya barabara
Serikali wilayani Kasulu imesema tayari imefanya upembuzi wa baadhi ya barabara ambazo zimekuwa na changamoto ya kutopitika baada ya kuharibika kutokana na mvua za msimu uliopita ili kuweza kutenga bajeti ya kuzifanyia ukarabati. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Kufuatia Wakala…