Joy FM

Wakulima kunufaika na viwanda vidogovidogo Kusulu

23 July 2025, 12:44

Baadhi ya wakulima wilayani Kasulu wakiwa katika shamba darasa, Picha na Mtandao

Halamashauri ya Wilaya ya Kasulu inakusudia kuanzisha viwanda vidogovidogo vitakavyosaidia wakulima wa zao la mchikichi kukamua mafuta ya zao hilo.

Sauti ya Mwandishi wetu Emmanuel Kamangu