Joy FM
Joy FM
10 February 2025, 12:42

Baadhi ya wananchi halmshauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma wameomba mamlaka zinazohusika na usafi wa mazingira kuweka mkakati wa kudhibiti utupaji wa taka ovyo ili kuimarisha usafi wa mazingira katika mji huo.