Walimu Kasulu watakiwa kulinda Wanafunzi dhidi ya Ukatili
Walimu Kasulu watakiwa kulinda Wanafunzi dhidi ya Ukatili
16 October 2024, 15:33
Afisa elimu kata ya Titye Bw,Yoab Hinyula Picha na Emmanuel Kamangu
Walimu katika kata ya titye wilayani kasulu wametakiwa kuzingatia miongozo ya utumishi wa umma ili kuhakikisha wanawalinda wanafunzi wao na vitendo vya ukatili.