Recent posts
19 November 2024, 14:27
Wagombea watakiwa kufanya kampeni kwa amani Buhigwe
Kampeni za uchaguzi wa serikaili za mitaa zinazinduliwa rasmi kitaifa katika eneo la Kiganamo Hamlmashauri ya mji wa Kasulu na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Kassim Majaliwa. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wakati kampeni za uchaguzi…
19 November 2024, 10:34
Watumishi 7 kukatwa asilimia 15 ya mshahara wao Kibondo
Baraza la madiwani la halmashauri ya Wilaya ya Kibondo limeadhimia watumishi Saba wa idara ya afya kukatwa asilimia 15 ya mshahara wao kwa kipindi cha miaka mitatu na kurudisha fedha zaidi ya milioni 70 walizohujumu Serikali kwa kuuza dawa na…
18 November 2024, 15:11
Prof. Ndalichako awataka wahitimu wa mafunzo stadi kufanya kazi
Serikali imesema itaendelea kuwasaidia vijana kupitia ujuzi mbalimbali ili kuhakikisha wanapatiwa mikopo itakayowasaidia kujiajiri. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wahitimu wa mafunzo ya ufundi stadi Veta wilayani Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na kuwa na nidhamu ya…
18 November 2024, 14:56
Madiwani walia na migogoro ya wakulima na wafugaji Kasulu
Madiwani wametakiwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii ili iweze kutambua mipaka ili kuwsaidia kupunguza migogoro ya ardhi katika ya wakulima na wafugaji. Na Emmanuel Kamangu Migogoro ya wafugaji na wakulima katika wilaya ya uinza na wilaya ya kasulu yaongezeka ikichangiwa…
18 November 2024, 12:40
Wananchi wataka serikali kuharakisha ujenzi wa daraja mto Ruiche Kigoma
Serikali kupitia kwa wakala wa barabara za mijiji na vijijini TARURA Wilaya Kigoma imesema inaendelea na ujenzi wa daraja la mto ruiche ambalo limekuwa likiwasumbua wananchi wa eneo hilo hasa wakati wakivuka kwenda shuleni. Na Josephine Kiravu – Kigoma Wananchi…
18 November 2024, 08:44
Vuta nikuvute urejeshaji maeneo ya serikali Kigoma
Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Kisena Mabuba amewahakikishia madiwani wa Manispaa hiyo kuwa anasimamia kwa nguvu ili kuhakikisha maeneo ya wazi yanayomilikiwa na Manispaa yanapatiwa hati miliki ili kuepuka maeneo hayo kuvamiwa na watu wasio waaminifu. Na, Lucas Hoha…
15 November 2024, 15:00
DC Kasulu awafunda madiwani kuelekea uchaguzi
Zikiwa zimebaikia siku 12 kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mkuu wa wilaya ya kasulu kanal Isack mwakisu amewataka madiwani wilayani humo kuhakikisha wanakuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi wajitokeze kuwachagua viongozi wao. Kanal mwakisu amesema hayo katika mkutano…
14 November 2024, 13:14
DC Uvinza awataka wagombea waliowekewa pingamizi kukata rufaa
Wakati muda uliowekwa kwa wagombea waliowekewa pingamizi ukikaribia kuisha, Mkuu wa Wilaya Uvinza Mkoani Kigoma ametaka wagombea kuwasilisha rufaa zao mapema kabla ya muda wa ziada kuisha. Na Sofia Cosmas – Uvinza Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma Dina…
13 November 2024, 17:35
NIDA mlango wawekwa wazi kurekebisha taarifa
Wananchi wilayani kasulu mkoani Kigoma ambao wameshapatiwa namba za vitambulisho vya Taifa NIDA wametakiwa kuhakiki usahihi wa majina yao kabla ya kutolewa kwa Vitambulisho hivyo ili waweze kufanyiwa marekebisho kabla ya vitambulisho hivyo kutolewa. Wito huo umetolewa na Afisa uandikishaji…
13 November 2024, 13:55
Serikali yaomba wananchi kushiriki miradi ya maendeleo
Mkuu wa wilaya ya Kigoma Dkt Rashid Mohamed Chuachua akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine wakati wa uzinduzi wa ujenzi wa shule Gungu Mkuu wa wilaya ya Kigoma Dkt Rashid Mohamed Chuachua amewataka wananchi kushirikiana na serikali katika…