Joy FM
Joy FM
6 August 2025, 14:49

Katika jamii nyingi duniani, nafasi ya mwanamke katika uongozi imekuwa ikipata msukumo mpya kadri jamii zinavobadilika kuelekea usawa wa kinjinsia.
Pamoja na juhudi zinazofanywa na serikali na mashirika ya kiraia, familia ni muhimili mkuu wa katika safari ya mwanamke kuelekea uongozi kupitia malezi bora, elimu, uungwaji mkono na mazingira chanya na kumwezesha mwanamke kuwa kiongozi bora wa badaye.