

27 March 2025, 10:42
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu idara ya management ya maafa imetoa elimu kwa watendaji wa kata na mitaa katika Manispaa ya Kigoma Ujiji ya namna ya kupunguza madhara ya maafa kufuatia maafa ya mafuriko, magonjwa ya mlipuko na wanyama wakali hasa mamba yanayoendelea kujitokeza na kudhuru wananchi katika maeneo mbali mbali mkoani humo.