Joy FM

Vurugu zaibuka wananchi wakigombania mipaka ya kijiji

17 October 2024, 11:48

Mkuu wa Wilaya Buhigwe Kanali Michael Ngayalina akiwa na wataalamu wa ardhi kujadili mpango wa matumizi bora ya ardhi, Picha na Tume ya mipango bora ya ardhi

Vurugu Zimezuka Kati ya Viongozi Wa Vijiji Na Wananchi Katika Kata ya Biharu Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, Wakigombania mpaka wa Vijiji Hivyo, ambao umedumu kwa Mda Mrefu na kusababisha shughuli za Uzalishaji hasa Kilimo Kusimama, ambapo Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi imelazimika kuchukua hatua kuanza kupima mpaka na kuweka Viashiria vya utambuzi wa mpaka.

Sauti ya Kadislaus Ezekiel Mwandishi wa Radio Joy Fm