Joy FM

Wanafunzi wawili wajeruhiwa kwa kipigo na mwalimu

2 September 2024, 17:15

Pichani ni mwanafunzi wa kidato cha nne shule ya sekondari Murubona ambaye akiumizwa sehemu za mwili wake kwa kupigwa na mwalimu wake, Picha na Emmanuel Kamangu

Wakati  Serikali na wadau mbali mbali wa haki za binadamu wakiendelea kupinga vitendo vya ukatili wa vipigo kwa watoto shuleni  bado ukatili wa aina hiyo unaendelea kujitokeza siku hadi siku.

Kutoka wilayani kasulu Emmanuel Kamangu na ripoti zaidi.