Joy FM

Wananchi wapinga ujenzi wa daraja lisilo na ubora

27 August 2024, 13:18

Wananchi wa kijiji cha Kigogwe, kata ya Munzeze, Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe, mkoani Kigoma, wameibua upinzani mkali dhidi ya ujenzi wa daraja linalojengwa na Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) katika mto Luiche.

Ripoti kamili na Emmanuel matinde