Joy FM

Asilimia 4 ya kaya kibondo hazina vyoo bora

30 July 2024, 11:25

Zaidi ya kaya elfu 2345 hazina vyoo katika Halmashauri wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma huku Zaidi ya kaya elfu 4567 zikiwa na vyoo visivyokidhi mahitaji hali ambayo inatishia mlipuko wa magonjwa mbali mbali katika jamii

Katika kuangazia tatizo hilo mwandishi wa Radio Joy ametembelea Kijiji cha Rusohoko na kutuandalia makala fupi kuhusu hali ya upatikanaji wa vyoo.