Joy FM
Joy FM
1 April 2026, 15:17

Wanawake wafanyabiashara wengi wao wanasisitiza uwepo wa mazingira ya haki na heshima ili waweze kuchangia kikamilifu katika maendeleo ya uchumi wa mkoa na taifa kwa ujumla.
Na Orida Sayon na Tryphone Odace
Wanawake wafanyabiashara wa mazao ya uvuvi Mkoani Kigoma wamelalamikia kuendelea kukumbana na vitendo vya rushwa ya ngono, hali wanayosema inarudisha nyuma jitihada zao za kujikwamua kiuchumi na kufikia usawa wa kijinsia.