Joy FM

Ushiriki wa wanawake katika uchaguzi mkuu

15 October 2025, 14:36

Sauti ya makala inayoelezea ushiriki wa wanawake katika uchaguzi

Wakati zikiwa zimesalia siku chache kabla ya uchuguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kampeni zimeendelea katika maeneo mbalimbali nchini huku wanawake nao wakiwa hawajaachwa nyuma katika kushiriki uchaguzi.