Joy FM

Wavuvi ziwa Tanganyika walia na upepo mkali mitumbwi ikipotea

13 January 2025, 14:27

Muonekano wa ziwa Tanganyika na mitumbi ya wavuvi ikiwa ziwani, Picha na Mtandao

Wavuvi Mkoani Kigoma wametakiwa wametakiwa kufuatailia utabiri wa hali ya hewa ili kuweza kufahamu muda gani wa kuingia ziwani kuvua na kuepuka dhoruba za upepo wawapo ziwani.

Baadhi ya wavuvi katika Ziwa Tanganyika wamelalamikia changamoto ya upepo mkali na mvua hali inayosababisha kushindwa kufanya kazi za uvuvi na kukosa riziki kwani wengi hutegemea shughuli za uvuvi kuendesha maeisha yao.

Simulizi ya Winfrida Ngassa aliyetembelea eneo la mwalo wa kibirizi inafafanua zaidi.