Joy FM

Wananchi kunufaika na ukamilifu wa ofisi ya kijiji Kakonko

3 September 2024, 14:50

Kijii cha Nyakiyobe kilichopo kata ya Gwarama wilayani Kakonko mkoani Kigoma kimefanikiwa kujenga  ofisi ikiwa ni miaka kumi tangu kuanzishwa kwake, hali hiyo itarahisisha shughuli mbalimbali na kujiletea maendeleo na taifa kwa ujumla. 

Ripoti yake James Jovin