Joy FM

Nyumba yateketea kwa moto na mali zote Kasulu

28 June 2024, 16:43

Nyumba moja imeteketea kwa moto na vitu vyote vilivyokuwemo ndani katika mtaa wa Soko Jipya kata ya Murubona halmashauri ya mji Kasulu mkoani Kigoma huku chanzo cha moto  kikitajwa na baadhi ya mashuhuda kuwa ni hitilafu ya umeme.

Ripoti zaidi na mwanahabari wetu Michael Mpunije

Muonekano wa nyumba iliungua na moto picha na Mtandao