Joy FM
Joy FM
23 April 2024, 16:06

Jumla ya wajumbe zaidi ya 40 kutoka katika vijiji mbali mbali wilayani Buhigwe wameshiriki mafunzo maalumu lengo ikiwa ni kuhakikisha wanapewa elimu juu ya jinsi ya kuibua vitendo vya ukatili vinavyojitokeza katika maeneo yao.