Joy FM
Joy FM
19 June 2024, 11:59
Wadau wa maendeleo wilayani kasulu mkoani kigoma wametakiwa kuunga mkoni juhudi za serikali katika kutatua changamoto zinazokabili sekta ya elimu ikiwemo upungufu wa vyumba vya madarasa. Na Michael Mpunije Shirika la World vision Tanzania kanda ya Kigoma limesema litaendelea kushirikiana…
18 June 2024, 16:27
Wazazi na walezi wilayani kasulu mkoani kigoma wametakiwa kuendelea kuunga mkoano juhudi za serikali katika kuchangia chakula shuleni ili kusaidia kudhibiti utamlo kwa watoto wa shule za msingi na sekondari. Na Michael Mpunije – Kasulu Zaidi ya watoto elfu 60…
17 June 2024, 15:34
Wakati waislamu duniani kote wakiwa wameungana kusherekea siku ya Eid El Hajj wito umetolewa kwao kuendelea kuwasaidia watu wasiojiweza hasa wanaishikatika mazingira magumu. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Waumini wa dini ya Kiislamu wilayani Kasulu mkoani Kigoma wameaswa kusherehekea sikukuu…
17 June 2024, 09:10
Serikali kupitia wizara ya ujenzi imesema inaendelea na ujenzi wa barabara ya kabingo – kasulu ili kurahisisha shughuli za usafirishaji. Na Kadislaus Ezekiel – Kibondo Naibu Waziri wa Ujenzi, Eng. Godfrey Kasekenya amemuagiza Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa…
14 June 2024, 12:27
Serikali wilayani Kasulu mkoani Kigoma imewataka wananchi kuacha kuharibu barabara kupitia shughuli za binadamu ikiwemo kilimo na ukataji miti na kutupa taka barabarani. Na Hagai Ruyagila – Kasulu Wananchi wa wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wametakiwa kuacha tabia ya kutumia…
14 June 2024, 12:06
Shirika la Social Action Trust Fund (SATF) limetoa msaada wa vitu mbalimbali ikiwa ni mkakati wa kusaidia kuendeleza ujuzi kwa wananfunzi wanaoupata chuoni hapo FDC Kibondo. Na James Jovin – Kibondo Wanafunzi wa fani ya ufundi stadi wapatao 48 waliohitimu…
14 June 2024, 09:13
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kutoa elimu ya usafirishaji wa kemikali kupitia ziwa Tanganyika ili kusaidia kupunguza madhara yanayoweza kujitokeza iwapo wasafirishaji hawatazingatia usafirishaji bora wa kemikali. Na Kadilsaus Ezekiel – Kigoma Wasafirishaji wa Bidhaa mbalimbali katika nchi jirani za…
13 June 2024, 09:32
Mkuu wa Wilaya Kigoma Mh. Salum Kalli amewataka wasimamizi wa wa vyombo vya usafiri kuhakikisha madereva na wamili wa mabasi yaendayo mikoani wanazingatia kanuni za usalama barabarani ili kuzuia ajali za barabarni. Na Josephine Kiravu – Kigoma Abiria wanaosafiri kutokea…
13 June 2024, 09:07
Serikali imeitaka wakala wa barabara za vijijini na Mjini (TARURA) Mkoani Tabora kuhakikisha mitaro yoyte inayopitisha maji inafanyiwa usafi na kuzibuliwa mara kwa mara. Na Tryphone Odace – Tabora Wakala ya Barbara za Vijijini na Mijini (TARURA ) mkoani TABORA…
13 June 2024, 08:54
Serikali imesema itaendelea kuhakikisha miundombinu ya madaraja na barabara iliyoharibika kutokana na mvua za Elnino zilizonyesha msimu wa masika mwaka huu inakarabatiwa ili kurahisisha usafirishaji na kukuza uchumi wa wananchi na jamii kwa ujumla. Na Tryphone Odace Wananchi wa Kata…
Radio JOY 90.5 FM Kigoma is the community radio station broadcasting in Kigoma, which JOY owns IN THE HARVEST organization. We started full Broadcasting in February 2016. Radio JOY FM provides information that caters to the interest of the Kigoma region, Radio Joy broadcasts content that is popular to a local audience community. Radio Joy Fm carries news and information programming geared toward the local area, particularly where other media cannot reach the area and minority groups that are poorly served by other major media outlets. Radio joy as a platform to enable participation of communities in developing activities like
building schools, hospitals and influencing behavior change. We produce programs like Good morning Kigoma, “Harakati za Vijana”, Mashua, “Dimba la Michezo”, East Africa Show, Lunch Time and so on, to keep the value, languages and cultures of Kigoma Society alive on a daily basis. Radio Joy Fm Kigoma work as a means to promote values of access to education, economic and social justice, against class, gender, race, and caste based violence, and transparency in governance.
Missions
Visions
The Owner – The organization owns Radio JOY FM, Kigoma, called Joy in the Harvest, which has been in Kigoma for more than twenty-five years; Radio Joy has a special emphasis on helping the poor, the disabled, and the disadvantaged through the program we produce. Not only that but also we are glad to be part of something big, through the programs Radio Joy producing is able to bring positive change to the Kigoma community.
Radio JOY Location – Radio JOY 90.5 Fm Kigoma, has studios located on Kibirizi Road, Kigoma Town. We are just very few kilometers from Kigoma Railway Station. Our broadcast tower is located on the highest point in the area.